Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

Sio sawa
Mambo mengine unavunga tu unabadili mada siku inaisha
Huwezi kuvunga kitu ambacho kina kuumiza mpaka kufikia kuanzisha uzi,kusema "Siku inaisha" ni kama kujifariji tu ila tatizo lipo palepale,

Kumbuka haya ni maisha yako,maisha ni mafupi sana,weka mipaka kwenye maisha yako ili usiingilike kirahisi.
 
Kusema kweli hawa Wakubwa wetu huwa wanakosea sana.

Kuna Baba mdogo ndio lilikuwa swali lake hilo kila akinipigia simu. 😃

Kuna siku nikamwambia MZEE HILI SUALA NINGEOMBA USIRUDIE TENA KUNIULIZA.
 
Najibu sina Kwa sasa
Lakini wanaendelea kwanini?
Napata kigugumizi
Yani natibuka hisia
Tuna changamoto sana watanzania, mtu anakwambia sina, bado unamuuliza kwanini? Alafu ni mtoto wa kike, sio sawa. Minilichojifunza katika maisha ni kuepuka maswali yanayoumiza hisia
1. Una watoto wangapi sasa hivi?
2. Umeolewa? Bora hata kuuliza Umeshaoa kwasababu mwanaume ndiye anauepanga, ingawa nayo sio lazima
3. Unafanya kazi wapi?
 


Kwanini unahusisha ndugu na mambo yako binafsi privacy kama mme , mume , biashara n.k

Hayo ni maswali yakijinga ambayo yanaashiria unatoka ktk familia ya kimasikini sana .


Ndo watakuuliza habari kama hizo

Ushauri make more money as you can
 
HUWEZI EPUKA HIZO QUESTION KWA SABABU PRIMITIVE PEOPLES WAPO TU SIKU ZOTE.

SWALI KAMA HILO LITAPOTEA MIAKA 60 IJAYO
Labda mkuu
Jamii zetu zitaadapt kuheshimu hata maamuzi binafsi ya mtu

Kuna watu wanajikuta wanaingia mahali mradi tu ili kukwepa maswali kama hayo toka Kwa wazee wao na jamii zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…