Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

Mimi kila nikienda kidimbwi, kesho yake napata hela.
nisipo kunywa bia, naamka patupu tu, hakuna hela 😃🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Mimi kila nikienda kidimbwi, kesho yake napata hela.
nisipo kunywa bia, naamka patupu tu, hakuna hela 😃🤣🤣
Kwenye bia ni kweli ndio maana walevi hawakosi hela ya kunywa
 
Itabidi nifanye hivyo ila amekaa kama baunsa na mi kimbaumbau nikioa nikamzingua atanidunda
Ukimnyandua vizuri hawezi kukudunda.
Mimi niliwahi pata wa hivyo sema zamani.
Wa hivyo mtaelewana Sana kwenye ndoa Hakuna vurugu ana ngekewa huyo
 
Na ndio maana simuachi aisee
 
Sura mbovu na shapeless huwa ndiyo wanadumu kwenye mahusiano. Lkn siyo mtu kama mm natafutwa na kila mwanaume, nina uzuri wa Cleopatra (25 BC) nigande na jitu moja tu. Never ever!
Wacha wee ahaaa kumbe we kisu
 
Mimi nilikua na wa hivyo tatizo lake ni mzaramo. Mwanamke alikua na nyota ya hela balaa. Tatizo mtoto wa uswazi, sio presentable Ila kwenye mechi alikua mzuri Sana.
Tatizo uswahili tu.
 
Mzaramo tatizo huwezi kumbadili tabia,wanawezana wenyewe,kwenda ngomani kila week changamoto
 
Mimi nilikua na wa hivyo tatizo lake ni mzaramo. Mwanamke alikua na nyota ya hela balaa. Tatizo mtoto wa uswazi, sio presentable Ila kwenye mechi alikua mzuri Sana.
Tatizo uswahili tu.
😂😂😂 “sio presentable” nahis ndio tatizo linalomsumbua jamaa hapo muanzisha uzi kaja kutafuta justification hapa

Hiyo ni code kwamba “namla demu mbaya ila wana wasinijudge” kama movie zote za ujasusi nilizoangalia hazikunisaidia kitu
 
Ahaaa acha hizo
 
Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani ninemgeuza msukule.
Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela,au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani
Kuna mademu wanakisimati sana usione tumewangangania wakati hawana mvuto.
Uzuri ni kwamba kila nikipiga dili sisahau kuutumia muhamala huo msukule wangu Deborah
Bila picha mkuu inabaki kuwa masihara
 
Accha uchawiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23] “sio presentable” nahis ndio tatizo linalomsumbua jamaa hapo muanzisha uzi kaja kutafuta justification hapa

Hiyo ni code kwamba “namla demu mbaya ila wana wasinijudge” kama movie zote za ujasusi nilizoangalia hazikunisaidia kitu
Yawezekana wala sio m'bovu.
Tatizo kuna mtu unaogopa hata kumtambulisha kwa watu mana anoaongea hovyo hachagui aongee nini na wapi yaaani anajiropokea tu.
Yaani hawezi kunyamaza hata kama hawajui ataongea tu na akiongea unaweza tamani ukimbie au ujifiche.
Inshort hana staha wala adabu.
Yawezekana ndio alichomaanisha.
 
Usielezee sana mkuu Deborah mwenyewe
👇👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220716-141850_Twitter.jpg
    Screenshot_20220716-141850_Twitter.jpg
    32.9 KB · Views: 6
Sura mbovu na shapeless huwa ndiyo wanadumu kwenye mahusiano. Lkn siyo mtu kama mm natafutwa na kila mwanaume, nina uzuri wa Cleopatra (25 BC) nigande na jitu moja tu. Never ever!
Sasa we ni mwanaume af unajiita uzr wa Cleopatra, unatatizo kubwa sana kijina kichwan,
Inabid upigwe maombi hayo mapepo ya ushoga yakutoke
 
Yawezekana wala sio m'bovu.
Tatizo kuna mtu unaogopa hata kumtambulisha kwa watu mana anoaongea hovyo hachagui aongee nini na wapi yaaani anajiropokea tu.
Yaani hawezi kunyamaza hata kama hawajui ataongea tu na akiongea unaweza tamani ukimbie au ujifiche.
Inshort hana staha wala adabu.
Yawezekana ndio alichomaanisha.
aah hapo kwahiyo unaogopa kumtambulisha mpenzi wako kwa cool kids wenzio maana atakuaibisha
 
Back
Top Bottom