Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Acha niwachukue nyie wawili tulia ackson atachukuliwa na joto la jiwe They were made for each other ππMii kama ni ivo naandamana.
Tubadirishane basi, thisdayes umchukue tulia mi nikuchue wewe.
Siwezi nika share wewe na mtu mwingine!! Just the thought of it brings homicide spirit [emoji2955]Acha niwachukue nyie wawili tulia ackson atachukuliwa na joto la jiwe They were made for each other [emoji16][emoji16]
Mkuu unataka kuingilia utamu wangu!! Hilo vurugu lake wazulu utawaona watu wema..Mii kama ni ivo naandamana.
Tubadirishane basi, thisdayes umchukue tulia mi nikuchue wewe.
Acha niwachukue nyie wawili tulia ackson atachukuliwa na joto la jiwe They were made for each other ππ
Mkuu unataka kuingilia utamu wangu!! Hilo vurugu lake wazulu utawaona watu wema..
Ndugu zangu wana Afrika ya Mashariki amani iwe kwenu
Mimi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye kampeni nikiwa Mombasa kiroho kikanidunda nikawa nafuatilia hotuba zake hata alipokuwa Waziri nilikuwa kila nikiyaangalia yale macho basi nyoka lazima atamani
Mpaka leo hii bado ninacuriwa nae najua lazima atakuwa na Bwana na watoto ila ndio dunia hiyo
Nimejaribu kudate Wakamba kadhaa lakini hakuna aliyemfikia Charity Ngilu
Ningependa angalau siku moja japo hata tusalimiane tu ili niushike mkono wake halafu hata nikifa kesho yake sawa tu.
View attachment 1202753
Hayo ndio macho ya Mahaba hakuna cha kula Kungu wala kupakaa wanja sijui shade ni kitu Natural Mimi hata kama nimezulumiwa Nyumba akinitokea nitapoa kama Barafu.
I love you my Sister.
Namuona mwalimu wangu wa Business Law Murkomen.Mtoto Sabina Chegge lazima nimfate Nairobi nipige!
Lazima apigwe tu hamna namna!
View attachment 1202784
Bora umekimbia, nimesha beba panga, shoka, mkuki, mishale, rungu na gobole (yani hapa nipo kama baba ubaya) kukusaka wewe.[emoji2089][emoji2089]
Duuu ngoja nitoke nduki.
Our County's Women Rep is taken π labda humuοΏΌ Ann Wanjiku Kibe amaSasa charity ni Bibi amezeeka wewe unapenda watu wazee? Lakini yupo single mumewe aliaga kitambo Sana rusha mistari huenda akavutiwa na maneno yako. Jishindie huyo.View attachment 1202819View attachment 1202820
Ndugu zangu wana Afrika ya Mashariki amani iwe kwenu
Mimi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye kampeni nikiwa Mombasa kiroho kikanidunda nikawa nafuatilia hotuba zake hata alipokuwa Waziri nilikuwa kila nikiyaangalia yale macho basi nyoka lazima atamani
Mpaka leo hii bado ninacuriwa nae najua lazima atakuwa na Bwana na watoto ila ndio dunia hiyo
Nimejaribu kudate Wakamba kadhaa lakini hakuna aliyemfikia Charity Ngilu
Ningependa angalau siku moja japo hata tusalimiane tu ili niushike mkono wake halafu hata nikifa kesho yake sawa tu.
View attachment 1202753
Hayo ndio macho ya Mahaba hakuna cha kula Kungu wala kupakaa wanja sijui shade ni kitu Natural Mimi hata kama nimezulumiwa Nyumba akinitokea nitapoa kama Barafu.
I love you my Sister.
Lol.. eliakeem basi rudia mpenzi wako wa awali,Tulia Ackson. Kwaheri...Siwezi nika share wewe na mtu mwingine!! Just the thought of it brings homicide spirit [emoji2955]
Kha!Mizimu tena ?Kwani mmekufa? We' jamaa unanifurahisha sanaKwenye jimbo Msalala Mkoani Shinyanga kuna sehemu inairwa Ukamba inasemekana ndio kitovu cha Asili ya Kabila la Wakamba kabla ya Kuhamia East Coasts na kupigana Wanamzizima kisha wakaenda North ambayo ndio leo ilipo Jamhuri ya Kenya.
Hilo eneo la Ukamba kuna Chemxhem ya Maji na Kuna samaki ambao hata ukijaribu kuwaloa hawatoki Eneo hilo kwa sasa linakaliwa na watu wa Kabila la Wasukuma
Kunasimulizi nyingi za Wakamba kutoka kenya kuja kutambika hapo kwa hiyo kuna uwezekano mizimu yetu mimi na Charity ikawa inavutana ila hiyo elimu mimi sina ila nitahakikisha nafika Kitui kwa udi na Uvumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaweka ya Tulia Ackson ambayo huwa nawatishia watoto ili wakalale mapema.
Huyo ni manzi wa yule jamaa anaekwambiaga unafanana na mwai kibakiUsiniambie huyu ni mtanzania maana sitaamini. Ni mkenya aliyenunuliwa na ccm?