Ndugu zangu wana Afrika ya Mashariki amani iwe kwenu
Mimi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye kampeni nikiwa Mombasa kiroho kikanidunda nikawa nafuatilia hotuba zake hata alipokuwa Waziri nilikuwa kila nikiyaangalia yale macho basi nyoka lazima atamani
Mpaka leo hii bado ninacuriwa nae najua lazima atakuwa na Bwana na watoto ila ndio dunia hiyo
Nimejaribu kudate Wakamba kadhaa lakini hakuna aliyemfikia Charity Ngilu
Ningependa angalau siku moja japo hata tusalimiane tu ili niushike mkono wake halafu hata nikifa kesho yake sawa tu.
View attachment 1202753
Hayo ndio macho ya Mahaba hakuna cha kula Kungu wala kupakaa wanja sijui shade ni kitu Natural Mimi hata kama nimezulumiwa Nyumba akinitokea nitapoa kama Barafu.
I love you my Sister.