Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
- Thread starter
- #41
Kumbe ni kikundi cha matumaini tu?Matumaini, Umoja, na kudhibiti hisia.
Kumbe ni kikundi cha matumaini tu?Matumaini, Umoja, na kudhibiti hisia.
Anaevuta.Nani mvuta bangi Mkuu?.
Nakazia hapa..Ongea yote uwezayo
Pata kichefuchefu uwezavyo
Tukana uwezavyo
Fanya dhihaka uwezavyo
Ukubali ama Usikubali
Ukweli ni Huu
YESU ANARUDI
Zamani niliamini hicho kiumbe, ila baadaye niligundua usipotumia akili yako utakufa ukiwa unajiona.Hahah kidogo kidogo akili za waafrika zinaanza kufunguka
Atheists wenye chuki wanaishi kwa mateso sana. Utaelewa tu siku moja.Kumbe ni kikundi cha matumaini tu?
Ushatoka kupiga pafu?Anaevuta.
Kwako pia mkuu..Usiku mwema
sawa uzuri mi sijasema hakipo au kipoHicho kiumbe ni hewa hakipo.
Mambo ya Mungu yananikera sana aisee.Atheists wenye chuki wanaishi kwa mateso sana. Utaelewa tu siku moja.
Baada ya kufa ama?Ipo siku utajua kwamba yupo...
Labda atarudi kwenu.Nakazia hapa..
You are a dumb brute, hopeless deluded idiot. Unamlaumu Mungu Jee mafundisho yake umeyafuata?Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).
Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Ewe kamungu kadogo kama mleta thread unayefikiri una akili sana na uelewa sana, na unayejiona umefika kwenye hii safari, hako kamungu kenzio hakajauliza swali lolote. Kametoa dukuduku lake kualika vimungu wenzake kumdhihaki MUNGU. Na me nimejibu anavyostahiki.Duh mbona Sasa umepaniki kumjibu ..mbona hasira Kali sana...hua naona Kuna watu dini zimawatia ukichaa ama uwendawazimu, hawawez kufikiria,, nafikiri wewe ni mmoja wao...pole sana una safari ndefu sana
SI unataka majibuPunguza kutumia AI kijana.
HapanaUshatoka kupiga pafu?
Mental case..you need medical help.Ewe kamungu kadogo kama mleta thread unayefikiri una akili sana na uelewa sana, na unayejiona umefika kwenye hii safari, hako kamungu kenzio hakajauliza swali lolote. Kametoa dukuduku lake kualika vimungu wenzake kumdhihaki MUNGU. Na me nimejibu anavyostahiki.
Kwaheri
Niliachaga kumwamini Mungu hewa kitambo sana.You are a dumb brute, hopeless deluded idiot. Unamlaumu Mungu Jee mafundisho yake umeyafuata?