KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
nenda jamii intelligence ipo moja tena ile ndo nimeichapa vizuri nimetoa mtazamo wangu.Nitazitafuta Mkuu, kabla sijafa.
nenda jamii intelligence ipo moja tena ile ndo nimeichapa vizuri nimetoa mtazamo wangu.Nitazitafuta Mkuu, kabla sijafa.
Poa Mkuu.nenda jamii intelligence ipo moja tena ile ndo nimeichapa vizuri nimetoa mtazamo wangu.
Watu wanateseka kabla sijakuwepo, watu watateseka baada ya mimi kufutika, Lolote kunikuta hakubadili hilo.KAma hujawahi kuona watu wanavyoteseka kwa magonjwa una haki ya kuongea hayo, subiri yaje yakukute.
Sawa sawa tunaenda vizuri."mungu" wa kwenye vitabu upande wangu hata Mimi namkataa 💯 ila naamini "nguvu yangu ya asili ktk kuniongoza. Kwa Imani yangu hii najiona nikosalama. Tuelekezeni manma ya kulinda nakuzizalisha nguvu zetu za asili lkn sio hizo bra bra za mungu wa Israel.
Unaongea kirahisi hujui shida wewe, kalale.Watu wanateseka kabla sijakuwepo, watu watateseka baada ya mimi kufutika, kunikuta hakubadili hilo.
Hakuna uspecial,
kama ambavyo kuna nyakati unashambulia koromeo la mbuzi kwa kisu ili umtafune uendelee na maisha ndivyo hivyo hivyo backetia kuna nyakati anaweza shambulia organ au viungo vyetu ili maisha yaendelee.
Wewe unataka huruma ya Nature. Hakuna nitakalosema au unalotaka kusikia litakalobadili uhalisia wa Nature. Niwe naijua shida au nisiijue Nature haijali, Muda wa kulala utakufikia hata wewe utajilalia.Unaongea kirahisi hujui shida wewe, kalale.
Sawa Shilingi.Wewe unataka huruma ya Nature. Hakuna nitakalosema au unalotaka kusikia litakalobadili uhalisia wa Nature. Niwe naijua shida au nisiijue Nature haijali, Muda wa kulala utakufikia hata wewe utajilalia.
Tukubali na kuvumilia tu boss, ndo uhalisia wa ulimwengu.Sawa Shilingi.
Isaya 29Stori za Mungu ni za kitoto.
Watu wanabakwa, watu wanauliwa kikatili, watoto wadogo wanalia kwa maumivu ya magonjwa, lakini eti hicho kiumbe kimetulia tu.
Kama kweli hicho kiumbe kipo basi ni kikatili sana, na popote alipo aache ujinga.
Nilivyo soma tu kichwa Cha habari nikajuwa kabisa kilicho andikwa umo ndani kinasadifu jina la habari,Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).
Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Mungu yupo mkuu hayo yanapita tuMungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).
Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Kwanza kabisa sijamuomba umri mrefu, na pia sikuomba kuumbwa.Hii ni chuki kwa tunaoamini kuwa Mungu yupo. Ni vizuri kukaa kimya, kuliko kutoa matamshi hayo kwa watu ambao wana Imani naye.
Jiulize imekuaje wewe umeumbwa, umefika umri uliofika, mangapi mabaya yangeweza kukupata ila hayakukupata?
Iwe chochote kibaya au kizuri, ni kujidhihirisha kuwa Mungu yupo na anatenda. Anatulinda na mengi sana. Mungu wetu ni mwenye upendo sana. Kesho atakuamsha tena ukiwa mzima, uje umfokee tena hapa.
Sitokaa niamini habari za Mungu tena.Mungu yupo mkuu hayo yanapita tu
Hakuna kufa mpaka kieleweke.mkuu ko ile juzi ulivotaka kujiua ulihailisha? hakika ukuu wa mungu utakuwa umeuona ila unatukebeh t!
Sawa.Nilivyo soma tu kichwa Cha habari nikajuwa kabisa kilicho andikwa umo ndani kinasadifu jina la habari,
No reforms no election ⚒️ 💯
October tutakuwepo 😎