Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
- Thread starter
- #61
We endelea na mambo yako ya kukariri.Mental case..you need medical help.
We endelea na mambo yako ya kukariri.Mental case..you need medical help.
Mungu siyo kiumbe.Kweli Mkuu,
Watu wanateseka mpaka huruma, lakini hicho kiumbe kinachopewa sifa hakijawahi kuleta msaada wowote, means hicho kiumbe hakipo.
Huna hoja umemgeukia mleta hoja.Mental case..you need medical help.
Mungu ni hewa kama angekuwepo watu wasingelia kwa machungu ,....Bali hekima ya mwanadamu ni upumbavu mtupu
We endelea kujificha kwenye unafiki wa Mungu wakati una roho mbaya kuniliko au unadhani sikufahamu?Mungu yupo na atakuwepo milele
Unachukiaje kitu ambacho hakipo?Mambo ya Mungu yananikera sana aisee.
Na nina sababu zangu zilizofanya nichukie stori hizo maisha yangu yote na ikitokea yupo kweli itabidi aniombe msamaha kwa kunipigia magoti.
Achane naye Mkuu.Huna hoja umemgeukia mleta hoja.
Shame on Y'all.
#JESUSU IS LORD
Wewe una ushahidi kuwa Mungu yupo ama hayupo?Unachukiaje kitu ambacho hakipo?
Kama kuna kitu kibaya kwenye maisha yako unakihusisha na dini unakosea. Dini ni chombo tu. Waliotumia dini kukudhuru/kufanya mabaya ndo wenye makosa.
Kwahiyo upo dilemma?sawa uzuri mi sijasema hakipo au kipo
Tutafika kweli?Astaghfirullah
yakwangu huyawezi we msubiri aje akujibu!..😂Kwahiyo upo dilemma?
Mungu ni nini?Mungu siyo kiumbe.
Kwangu mimi hayupo ila sijataka kuongelea hilo nirefushe uzi wako bure, nimeona nikushauri tu kwasababu ninaelewa vizuri unacholalamikia.Wewe una ushahidi kuwa Mungu yupo ama hayupo?
Aaah kumbe we bendera fata upepo?yakwangu huyawezi we msubiri aje akujibu!..😂
Mh! hii tafuta nyuzi zangu nilishagaainisha humu kuhusu Mungu na mimi.Aaah kumbe we bendera fata upepo?
Mkuu sikuzaliwa tu na kumpinga Mungu, ila kuna kitu kimoja kilifanya nikachukia stori zote kuhusu Mungu.Kwangu mimi hayupo ila sijataka kuongelea hilo nikarefusha uzi wako, nimeona nikushauri tu kwasababu ninaelewa vizuri unacholalamikia.
Nitazitafuta Mkuu, kabla sijafa.Mh! hii tafuta nyuzi zangu nilishagaainisha humu kuhusu Mungu na mimi.