Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).

Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.

Mimi nakwambia hivi if you are too good/perfect to believe what God said through his preachers, wait until you meet the best of all preachers (death) then you will realise your foolishness. Pale ambapo utatamani kurudi ukatengeneze ila itakuwa too late to make things right with that God you deny now.
 
Mambo ya Mungu yananikera sana aisee.

Na nina sababu zangu zilizofanya nichukie stori hizo maisha yangu yote na ikitokea yupo kweli itabidi aniombe msamaha kwa kunipigia magoti.
Unamzungumzia Mungu huyu tunayemuamini ambaye likitajwa tu jina lake mbele ya shetani anayekujaza hicho kiburi anajikuta yuko magotini au? Kiburi chako cha uhai kisiipe nafsi yako kukufuru, maana yuko awezae kuichukua hiyo pumzi yake ya uhai wakati wowote akitaka. Huenda anaichaacha bado akikupa muda wa kutubu na kurejea kundini mwake. Use your short given time of grace wisely usiishie kwenye majuto ya milele.
 
We ndo unatia kichefuchefu...

A person with only 80years maybe 100yrs to live, decided to make yourself your own god. You think you're so smart all knowing, you think you're so powerful. You think you know it all. The god himself! !

Look at you! Shame on you!

May the veil be lifted before your eyes.

Acknowledge that there is someone way greater than you, totally unmatched in greatness. Your wisdom is foolishness to him. Ask him for wisdom.

Embu jione vile unatia huruma in the grand scheme of things. Look at you! ! ! What are you in this universe that you point your finger to the Lord. You shameless speck of dust!
Give him trusted proofs for existence of God and not insults, he might as well find another reason for not believing in God from an insulting Christian.
 
Stori za Mungu ni za kitoto.

Watu wanabakwa, watu wanauliwa kikatili, watoto wadogo wanalia kwa maumivu ya magonjwa, lakini eti hicho kiumbe kimetulia tu.

Kama kweli hicho kiumbe kipo basi ni kikatili sana, na popote alipo aache ujinga.
Kweli una kichefuchefu na sio muda utatapika
 
Give him trusted proofs for existence of God and not insults, he might as well find another reason for not believing in God from an insulting Christian.
Why don't YOU give them the proof?

Someone insults the Lord and expects to be pacified? It's by his Grace You're still alive! You will be rebuked!

Infact the Lord's instructions is to ignore such persons and leave them. But since you got so much Love in you, please, do the needful, provide them with whatever you think they need.
 
If you cannot give them the proof they need on God's existence, show them love, I hope you won't fail this.
 
If you cannot give them the proof they need on God's existence, show them love, I hope you won't fail this.
How do you decide what Love is? The Lord rebukes all who are his, unless you are illegitimate.

And Is that what the Lord said we should do, or are you the new Lord with new instructions for us? Show me where its written we go by the word only.

Again, since YOU Love them, YOU know what Love is, YOU know how to show Love, then do the needful, YOU show them the proof.

Otherwise, you're just a Hypocrite. You do not intend to help, you just want to be "seen" that you care. HYPOCRITE.

YOU give them the proof!
 
Mungu gani anaruhusu watu wauane, Mungu gani anaruhusu watu wazaliwe kwa magonjwa ( sickle cell, cancer, n.k).

Kama kweli huyo Mungu yupo na anaacha watu wateseke basi ni katili na anafaa kupingwa.
Yesu Kristo anakupenda sana mkuu.
 
Pole yawezekana kuna magumu unayopitia na yamekukatisha tamaa lakini ukweli Mungu anatusaidia sana
 
Back
Top Bottom