Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

Nimekosea ni fear not ear

Fear can exist is in our thoughts of the future. It is the product of our imagination, causing us to fear things that do not at present and may not ever exist. That is near insanity. Now do not misunderstand me, danger is very real, but fear is a choice.
hatari ni kweli, lakini hofu ni chaguo..
yaph hatari ipo kweli na mimi ndio nahofia sana juu ya hatari ya KIZAZI CHANGU
 
hatari ni kweli, lakini hofu ni chaguo..
yaph hatari ipo kweli na mimi ndio nahofia sana juu ya hatari ya KIZAZI CHANGU
Wewe una hofu na hofu haina uhalisia we unaanza kuimagine mambl ambayo hayajatokea na huenda yasitokee
 
Swala la maadili ya watoto wako lipo mikonon mwako
Sasa na wanaokufa na kuacha watoto wao bado kujielewa huoni ni tatizo hilo?
Yaani unakufa unamwacha mwanao mkubwa ana miaka 14 anayemfuata ana miaka 10 anayemfuata miaka 7 na 4 je unategemea wataishi katika mazingira gani?. Maana maada imerenga zaidi kwenye kukiacha KIZAZI chako mahali hatarishi
 
Wewe una hofu na hofu haina uhalisia we unaanza kuimagine mambl ambayo hayajatokea na huenda yasitokee
Kwa dunia ya leo neno "huenda yasitokee" futa,.
Yaani kuzaa watoto 10 alafu asitokee mwenye UKIMWI aliyakuwa wewe ni muathirika, kuzaa watoto 10 na wasitokee masikini aliyakuwa wewe masikini kuzaa watoto 10 alafu asitokee mwizi aliyakuwa wewe ni masikini! Hiyo ni ndoto tena futa.
 
Umeona shida hizo?,. Na tatizo kubwa litatokea pale mtoto wangu atakapozaliwa na UKIMWI wangu ambao niliupata kwa umalaya wangu
Kuna mahali kwenye vitabu vya Mungu wanasema "anawapatiliza watoto maovu ya wazazi wao", yaani wewe uzini upate ukimwi then umbambikie dogo..hana kosa wala nini!! Sio poa hata kidogo!!!!
 
Kuna mahali kwenye vitabu vya Mungu wanasema "anawapatiliza watoto maovu ya wazazi wao", yaani wewe uzini upate ukimwi then umbambikie dogo..hana kosa wala nini!! Sio poa hata kidogo!!!!
Eeee yaani Sio HAKI, machozi ya mtoto juu ya janga nitakalo muachia yatanitesa na kunisakama mpaka mwisho wa maisha tangy,.
 
Kwa dunia ya leo neno "huenda yasitokee" futa,.
Yaani kuzaa watoto 10 alafu asitokee mwenye UKIMWI aliyakuwa wewe ni muathirika, kuzaa watoto 10 na wasitokee masikini aliyakuwa wewe masikini kuzaa watoto 10 alafu asitokee mwizi aliyakuwa wewe ni masikini! Hiyo ni ndoto tena futa.
Ooh kumbe tayari ushaukwaa?
Lakini si siku hizi kuna njia za kumfanya mtoto asipate UKIMWI tena sio kubahatisha
 
Mungu ndiye anayepanga mm nimefanikiwa kumpeleka mtoto mpaka India kwenye matibabu na sikuwa na pesa ila Mungu akaniongoza mpaka nikapata connection za government sponsorship. Sasa wewe unahofu, kila mtoto anakuja na sahani yake. Wewe fyatua.
 
Ooh kumbe tayari ushaukwaa?
Lakini si siku hizi kuna njia za kumfanya mtoto asipate UKIMWI tena sio kubahatisha
Sawa hata kama na je uwe masikini kuna njia za uhakika za kumfanya mtoto nae asiwe masikini?
 
Mungu ndiye anayepanga mm nimefanikiwa kumpeleka mtoto mpaka India kwenye matibabu na sikuwa na pesa ila Mungu akaniongoza mpaka nikapata connection za government sponsorship. Sasa wewe unahofu, kila mtoto anakuja na sahani yake. Wewe fyatua.
Je masikini wote Wanaweza kupata hizo connection? Au unaongelea zali la mentali?
 
30 year's
We zaa boss kama hauna mtoto angalau mpaka 36 uwe na wawili wanakuja na riziki zao pia kwa hizo point utapambana baada ya watoto kuna kanguvu utapata cha kupambana

Usihofie dunia kwani hata sikuwa zetu za kufa hatuzijui pambana mkuu kama unataka na mwenza unae unaweza kuzaa raisi au au mtu mkubwa ukaja tabasamu uzeeni
 
Back
Top Bottom