Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

We zaa boss kama hauna mtoto angalau mpaka 36 uwe na wawili wanakuja na riziki zao pia kwa hizo point utapambana baada ya watoto kuna kanguvu utapata cha kupambana

Usihofie dunia kwani hata sikuwa zetu za kufa hatuzijui pambana mkuu kama unataka na mwenza unae unaweza kuzaa raisi au au mtu mkubwa ukaja tabasamu uzeeni
Sawa, ila je ikitokea huyo mtoto mmoja ni TAHAIRA hauoni nitaabika mpaka kufa kwake au kwangu?
 
Acha uzembe wewe zaa acha visingizio. Hawa wanao zaliwa hawayajui unayo ya waza ww. Na wanao zaa kwenye changamoto unawaona wajinga kama wewe??!! Ila tunasahaugi kuwa hata wajinga nao wanazeeka, mjinga mmoja wapo ni wewe.

Watu wanaukimwi na bado wanazaa watoto wazima hawana ukimwi. Watu maskini wa kutupwa ila waana zaa watoto wanaokuja kuwa potential baadae.

Kumbuka. KUZALIWA MASIKINI SIO KOSA LAKO, ILA KUFA MASIKINI NI KOSA LAKO.
Kama vichaa tu wanabeba mimba na kujifungua salama kabisa itakuwa wewe ambaye una uzima na afya!

Baada ya kuitafakari hii kauli nilikosa sababu ya kwanini nisimpe mtu kibendi😂 na kiukweli kadri siku zinavyokwenda milango ya baraka inafunguka tu.
 
Kwani kuna kosa ukifa bila kuacha uzao
Kwa mila zetu, mwanaume wa miaka above 25 akifa bila mtoto anachomwa tigo na chuma chenye moto[emoji16][emoji16].

Tukiachana na mambo ya mila.... Wewe piga mtu mimba, toto lije, lipe malezi kwa kadri utavojaaliwa then liache lijichagulie lifestyle yake litakapojitambua.
 
Kama vichaa tu wanabeba mimba na kujifungua salama kabisa itakuwa wewe ambaye una uzima na afya!

Baada ya kuitafakari hii kauli nilikosa sababu ya kwanini nisimpe mtu kibendi😂 na kiukweli kadri siku zinavyokwenda milango ya baraka inafunguka tu.
Je umeandaa mazingira salama kwenye KIZAZI chako, au unasubilia zali la mentali?
 
Sawa ni Mungu ila tatizo mimi ndio source ya hayo yote kutokea, UKIMWI wangu ulitokea kutokana na umalaya wangu na si mungu,. Je, na UKIMWI wa watoto wangu huoni kuwa umetokana na umalaya wangu pia?
Kumbe upo kwenye gridi ya taifa Polee
Ila watu mbona wanazaa ivo ivo na watoto hawapati ukimwi

unachotakiwa kukifanya fanya toba kwa Mungu wako hlf mengine Muachie Mungu
 
Kwa mila zetu, mwanaume wa miaka above 25 akifa bila mtoto anachomwa tigo na chuma chenye moto[emoji16][emoji16].

Tukiachana na mambo ya mila.... Wewe piga mtu mimba, toto lije, lipe malezi kwa kadri utavojaaliwa then liache lijichagulie lifestyle yake litakapojitambua.
Kwa mawazo haya ndio maana africa masikini hawaishi waathirika wa HIV hawaishi pia,.
 
Mimi ni muathirika wa HIV pia ni masikini mkulima mmoja hivi em tuanzie hapo tafadhali.,
Huo ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine na unaweza kuishi miaka mingi ukimeza dawa vizuri.
Corona ilikuja juzi tu na imesomba watu kibao kwa muda mfupi ila kuna watu wameishi na HIV kwa 20+ yrs wengine wamezaliwa nao na bado wanadunda.
My point is HIV/AIDS sio mwisho wa maisha na kuna walioathirika wakapata watoto wenye afya.
Sasa hivi huduma zimeboreshwa.

Wapo watu waliozaliwa familia za kimaskini sana ila kwa neema ya Mungu walifanikiwa kusoma na sasa wamesaidia familia zao kwa namna fulani.

Watoto ni baraka kama umejaliwa kizazi walete tu duniani.
 
Kumbe upo kwenye gridi ya taifa Polee
Ila watu mbona wanazaa ivo ivo na watoto hawapati ukimwi

unachotakiwa kukifanya fanya toba kwa Mungu wako hlf mengine Muachie Mungu
Na kwenye umaskini uteja na ushoga na uchangudoa unaliongeleaje?
 
Huo ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine na unaweza kuishi miaka mingi ukimeza dawa vizuri.
Corona ilikuja juzi tu na imesomba watu kibao kwa muda mfupi ila kuna watu wameishi na HIV kwa 20+ yrs wengine wamezaliwa nao na bado wanadunda.
My point is HIV/AIDS sio mwisho wa maisha na kuna walioathirika wakapata watoto wenye afya.
Sasa hivi huduma zimeboreshwa.

Wapo watu waliozaliwa familia za kimaskini sana ila kwa neema ya Mungu walifanikiwa kusoma na sasa wamesaidia familia zao kwa namna fulani.

Watoto ni baraka kama umejaliwa kizazi walete tu duniani.
Kwahiyo wewe unazaa mwanao hata akiwa shoga ni mungu ndio kataka na nisafi tu ee?
 
Kwa mila zetu, mwanaume wa miaka above 25 akifa bila mtoto anachomwa tigo na chuma chenye moto[emoji16][emoji16].

Tukiachana na mambo ya mila.... Wewe piga mtu mimba, toto lije, lipe malezi kwa kadri utavojaaliwa then liache lijichagulie lifestyle yake litakapojitambua.
Yaani mtu unafyatua watoto tu bila kujua mazingira yao na maisha yao kwa ujumla huu ni upumbavu wa kiwango cha rami
 
Kwa mawazo haya ndio maana africa masikini hawaishi waathirika wa HIV hawaishi pia,.
Ni bara gani HIV imeisha?? Acha uoga wa maisha ww. Imagine baba ako angekuwa na mawazo potofu kama yako[emoji23][emoji23].... Saiv tusingekuwa na mttupolli JF
 
Back
Top Bottom