Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
- #81
Ndugu wee umeongea cha maana kidogo, kwamba Kuna familia ni vizazi mpaka vizazi kwao ni umasikini tu au ni maradhi tuu, hii maana yake ni hivi alivyoishi Babu ndio kaishi baba na ndio ninavyoishi mimi na hata na kizazi changu pia,. Sasa kwa kuliona hili ndio maana nawazaga bora mimi niwe wa mwisho kwenye hiki kizazi, yaani kisiendelee tena ndio njia nzuri,. Au unasemaje mkuuMttupplli:nakuelewa na hii uwatokea watu ambao wametoka familia ngumu kwa maana ya hali duni Ki uchumi na maradhi hadi chakula.unaweza ukamkuta kijana yuko 35-40+ yrs amepambana kuokoa familia yake angalau wavuke ktk daraja hilo la ufukara lakini hadi anajikuta umri huo anaanza kuwaza mambo yanayo umiza akili kama usemavyo.Alafu jamii inayomzunguka haijui unapambana kwa kiwango gani ili nawewe uwe au muwe kama familia zingine zenye *3 kutwa.sasa jamii inaanza kukuhukumu haujao hadi sasa umri unakwenda,hapo unaingiwa na hofu unaanza kujiuliza hivi nilikuwa na ndoto watto wangu wasisome mazingira kama uliyopitia,sasa utaishi vipi?na watto ktk malezi yapi na huku hauna pesa.sasa ndg nikusaidie kitu kimoja nahiki kitu huwa tunajisahau au Maarifa ndo huwa hatuna.ktk familia zetu Mara kwa mara kulikuwa na matambiko sasa ukifatilia utakuja kugundua mmefungana kizazi kwa kizazi hadi unasikia ukoo flani huwa ni masikini mambo yaliyotendeka huko nyuma hauyajui na ukifatilia utasikia hivi Mara vile.tafuta sehemu moja ambayo utaamini kuwa yule ni mtumishi wa MUNGU kweli nenda kakae naye msimulie kisha tubu na kuwaombea na ndg zako wengine wafunguliwe ktk vitanzi hivyo hakika ipo siku utakuja kushukur JF.MUNGU akutangilie chukuwa hatua sasa hakika ata kama unamaradhi yanayo shindikana kwa wataaram kwa MUNGU nijambo dogo sna.na mwisho wasiku utakuwa na familia yako na maisha yakuwa historia.