Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

Hiyo sio kazi yako, Wewe piga pumbu.Mimi nataka fikishe angalau watoto nane,na nimeshakubaliana na mke wangu.
Sawa na je vipi kuhusu kuwamudu kielimu na kimalazi pia na vipi kwenye maradhi umejipangaje au ndo unataka kuturetea watoto ombaomba?
 
Kwani wewe umeshawahi kuwa shoga, mwizi, teja, +HIV, mfungwa?
Ndio, Nina mambo mawili makubwa yaani maradhi na umaskini na sitamani mwanangu awe mhanga wa lolote like kati ya hayo,. Kama una plan B nipe ili kukinusuru kizazi cha mwana jamiiforums
 
Ndio, Nina mambo mawili makubwa yaani maradhi na umaskini na sitamani mwanangu awe mhanga wa lolote like kati ya hayo,. Kama una plan B nipe ili kukinusuru kizazi cha mwana jamiiforums
Ufumbuzi fanya kazi kwa bidii, hakikisha hakuna fursa inayokupita. Wadau tungejua maeneo unayoishi ungeambiwa fursa nyingi zilizoko huko labda ungeweza kuzitumia ukapambana na watoto wako wakajifunza toka kwako mkaepukana na umaskini.
 
Janga hapo ni umaskini tu ila hayo mengine ni nature ya universe na mengine kama ukimwi ni mtoto tu na ujinga wake ajikute huko.
 
Ufumbuzi fanya kazi kwa bidii, hakikisha hakuna fursa inayokupita. Wadau tungejua maeneo unayoishi ungeambiwa fursa nyingi zilizoko huko labda ungeweza kuzitumia ukapambana na watoto wako wakajifunza toka kwako mkaepukana na umaskini.
mi ntafanya kaz kwa bidii sawa, je na wanangu waje fanya kaz kwa bidii si ndio? je unajua maana ya bidii wewe??
 
Namba moja linaepukika. KILA ukizaa mtoto mpandie miti heka 10 akifika miaka 10 atakuwa tajiri
 
UPUMBAVU.

Mtoto anakuwa vile unavyotaka wewe kutokana na malezi utakayompa.
Sasa kama wewe unazaa tu mradi kuzaa kama paka alafu malezi unayaachia jamii basi tegemea upate bomu.

Ukiona mtu anaogopa mtoto wake kuwa mjinga, mpumbavu na kuharibika basi tambua huyo mzazi ni mjinga asiyejitambua na mpumbavu vilevile na sio mbeba majukumu yake kama mzazi.
Na hapaswi kuwa mzazi.
 
Back
Top Bottom