Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa,hivi Wazazi wako km wangewaza hivyo wewe ungepatikana??.Natamani sana kuwa na watoto, ila nina mambo yanayonikosesa furaha kila nikiwaza juu ya kuwa na watoto,.
Miongoni mwa mambo hayo nina makubwa mawili nayo ni;-
1. Umasikini, Umasikini ni janga kubwa kwa upande wangu, huwa nakosa amani pale ninapoiona kesho ya watoto wangu kwenye swala umaskini, sina njia mbadala ya kuwa kwamua watoto wangu kwenye hili janga.
2. MARADHI, Hili ni kubwa pia japo halilingani na la kwanza, mfano kwenye hili gonjwa la UKIMWI kila nikiiwaza kesho ya wanangu katika hili janga linanikatisha tamaa na kujiona mwenye hatia endapo ntawaacha watoto waje duniani na niwaingize kwenye hili janga.
3. Upofu, Maradhi ya akili kama uchizi, utahaira nk. Pia kuna maradhi ya moyo. Na hata kifafa. Huwa nakosa furaha kila nikiifikilia kesho ya kizazi changu na naona ni bora niishi mwenyewe na hata nikifa basi nife bila ya kuacha KIZAZI kisicho na furaha.
Nimeikopy facebook
Life tamu mzeeeNingefurahi kwa kushindwa kwao kunileta kwa kukosa maandalizi mazuri kuliko kunileta kipumbavu,.
Nashukuru..Inaonyesha kuwa uko makini na vizuri kichwani. Una hulka ya kuchukua tahadhari kabla ya hatari. Hongera sana!
Huyo mungu hausiki kabisa na majanga ya hii dunia, kama mnakumbuka mungu alimkabidhi shetani aijaribu hii dunia ili kuwapata watenda dhambi na wema, hivyo mapambano yaliyopo hapa kwasasa ni ya shetani na binadamu mungu hayupo elewa hivyo,. na kuhusu ugonjwa sijimaanishii mimi, mimi nimeweza je na kizazi changu vipi kuhusu vilio vyao hauoni kuwa mimi ni sehemu ya sababu yao,.Mkuu hayo uliotaja ni changamoto za maisha ambazo karibu ya asilimia.kubwa ya wabongo wamezaliwa nazo ila wamepambana na kuweza kupunguza au kumaliza kabisa. Kuhusu ugonjwa kuna watu nawajua wameoa/kuolewa wamezaa na maisha yanaendelea LA msingi amini yupo Mungu aliye hai ndiye ana hatima ya maisha yako fuata ushauri wa wataalamu kuhusu afya mbona utafika mbali na sahau kuhusu matatizo jipe furaha buana.
sawa tamu kwa upande wangu na wako je kwa kizazi changu na chako unauhakika itakuwa tamu? unahakika hawatotokea mateja, machangu doa, viwete, vipofu, wafungwa wa pale segerea? una uhakika hawatotokea je na wakitokea viwete life kwao itakuwa tamu?Life tamu mzeee
Hatupaswi kuishi kwa kurudi nyuma, tunapaswa kuishi kwa kwenda mbele,. yaani tuitazame leo na kesho yetu. Wazazi kunileta kwa bahati mbaya ndio na mimi na wewe tulete watoto kwa bahati mbaya? kweli tutakuwa timamu?Wee jamaa,hivi Wazazi wako km wangewaza hivyo wewe ungepatikana??.
Ni mengi kweli, yaani ni njaa, magonjwa, madawa ya kulevya, umasikini nk,. na kibaya zaidi sina plan B ya kukifanya kizazi changu kuepukana na haya matatizo. kama una njia ya kukifanya kizazi chako kuepuka niambie tafadhali ili nijifunze kupitia wewe,.Unahitaji msaada wa kisaikolojia, seems like akili yako imeathirika na mengi.
Wee unavyofikiri kuzaa watoto mateja na kutoka kuzaa kabisa kipi hasara? sikia nikwambie, wote wengekuwa na misimamo kama yangu tanzania ingewa na watu wachache tena wenye faida na wenye maana,.Sio kosa ila ni hasara kubwa hapa duniani
Mzee, Imeandikwa "Zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi".Hivi ukisafiri barabara ya Iringa -Morogoro kuna mapori kibao,sasa yatajazwa lini?.Acha kuibania nchi.Hatupaswi kuishi kwa kurudi nyuma, tunapaswa kuishi kwa kwenda mbele,. yaani tuitazame leo na kesho yetu. Wazazi kunileta kwa bahati mbaya ndio na mimi na wewe tulete watoto kwa bahati mbaya? kweli tutakuwa timamu?
Siwezi kushiriki kuleta watu wa motoni, natambua kama ntaleta kizazi cha asilimia 90 motoni. Yaani kwenye watoto 10 wenda mmoja tu ataiona pepo,.Mzee, Imeandikwa "Zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi".Hivi ukisafiri barabara ya Iringa -Morogoro kuna mapori kibao,sasa yatajazwa lini?.Acha kuibania nchi.
hapanaFrom Facebook naona Kama anaingilia kazi ya Mungu
Na wanatia hasara kwel kwelKuna kitabu kimoja Cha mungu kinasema chungeni wake na watoto zenu maana watawatia kwenye hasara
Naunga mkono hojaNdugu wee umeongea cha maana kidogo, kwamba Kuna familia ni vizazi mpaka vizazi kwao ni umasikini tu au ni maradhi tuu, hii maana yake ni hivi alivyoishi Babu ndio kaishi baba na ndio ninavyoishi mimi na hata na kizazi changu pia,. Sasa kwa kuliona hili ndio maana nawazaga bora mimi niwe wa mwisho kwenye hiki kizazi, yaani kisiendelee tena ndio njia nzuri,. Au unasemaje mkuu
Hiyo sio kazi yako, Wewe piga pumbu.Mimi nataka fikishe angalau watoto nane,na nimeshakubaliana na mke wangu.Siwezi kushiriki kuleta watu wa motoni, natambua kama ntaleta kizazi cha asilimia 90 motoni. Yaani kwenye watoto 10 wenda mmoja tu ataiona pepo,.
Kwani wewe umeshawahi kuwa shoga, mwizi, teja, +HIV, mfungwa?Haujioni mwenye hatia unapowaona watoto wako mashoga, mateja, waathirika, na hata wakifungwa kifungo cha maisha?
Ana busara!Natamani sana kuwa na watoto, ila nina mambo yanayonikosesa furaha kila nikiwaza juu ya kuwa na watoto,.
Miongoni mwa mambo hayo nina makubwa mawili nayo ni;-
1. Umasikini, Umasikini ni janga kubwa kwa upande wangu, huwa nakosa amani pale ninapoiona kesho ya watoto wangu kwenye swala umaskini, sina njia mbadala ya kuwa kwamua watoto wangu kwenye hili janga.
2. MARADHI, Hili ni kubwa pia japo halilingani na la kwanza, mfano kwenye hili gonjwa la UKIMWI kila nikiiwaza kesho ya wanangu katika hili janga linanikatisha tamaa na kujiona mwenye hatia endapo ntawaacha watoto waje duniani na niwaingize kwenye hili janga.
3. Upofu, Maradhi ya akili kama uchizi, utahaira nk. Pia kuna maradhi ya moyo. Na hata kifafa. Huwa nakosa furaha kila nikiifikilia kesho ya kizazi changu na naona ni bora niishi mwenyewe na hata nikifa basi nife bila ya kuacha KIZAZI kisicho na furaha.
Nimeikopy facebook