Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
-
- #21
hatari ni kweli, lakini hofu ni chaguo..Nimekosea ni fear not ear
Fear can exist is in our thoughts of the future. It is the product of our imagination, causing us to fear things that do not at present and may not ever exist. That is near insanity. Now do not misunderstand me, danger is very real, but fear is a choice.
Ni quote ya Will Smith kutoka kwenye movie ya After Earth.Kumbe kiswahili unaweza ee
Wewe una hofu na hofu haina uhalisia we unaanza kuimagine mambl ambayo hayajatokea na huenda yasitokeehatari ni kweli, lakini hofu ni chaguo..
yaph hatari ipo kweli na mimi ndio nahofia sana juu ya hatari ya KIZAZI CHANGU
Sasa na wanaokufa na kuacha watoto wao bado kujielewa huoni ni tatizo hilo?Swala la maadili ya watoto wako lipo mikonon mwako
NimekupataNi quote ya Will Smith kutoka kwenye mobie ya After Earth.
Naikubali linapokuja suala la uoga.
Kwa dunia ya leo neno "huenda yasitokee" futa,.Wewe una hofu na hofu haina uhalisia we unaanza kuimagine mambl ambayo hayajatokea na huenda yasitokee
Kuna mahali kwenye vitabu vya Mungu wanasema "anawapatiliza watoto maovu ya wazazi wao", yaani wewe uzini upate ukimwi then umbambikie dogo..hana kosa wala nini!! Sio poa hata kidogo!!!!Umeona shida hizo?,. Na tatizo kubwa litatokea pale mtoto wangu atakapozaliwa na UKIMWI wangu ambao niliupata kwa umalaya wangu
Kuacha uzao duniani sio lazma. Acha kupotosha ummaSas utafanyaje na ndio nature ya dunia yetu inaumiza lkn huna jinsi na huwezi kuishi tu duniani na ukafa bila kuacha uzao
Eeee yaani Sio HAKI, machozi ya mtoto juu ya janga nitakalo muachia yatanitesa na kunisakama mpaka mwisho wa maisha tangy,.Kuna mahali kwenye vitabu vya Mungu wanasema "anawapatiliza watoto maovu ya wazazi wao", yaani wewe uzini upate ukimwi then umbambikie dogo..hana kosa wala nini!! Sio poa hata kidogo!!!!
Ooh kumbe tayari ushaukwaa?Kwa dunia ya leo neno "huenda yasitokee" futa,.
Yaani kuzaa watoto 10 alafu asitokee mwenye UKIMWI aliyakuwa wewe ni muathirika, kuzaa watoto 10 na wasitokee masikini aliyakuwa wewe masikini kuzaa watoto 10 alafu asitokee mwizi aliyakuwa wewe ni masikini! Hiyo ni ndoto tena futa.
Sawa hata kama na je uwe masikini kuna njia za uhakika za kumfanya mtoto nae asiwe masikini?Ooh kumbe tayari ushaukwaa?
Lakini si siku hizi kuna njia za kumfanya mtoto asipate UKIMWI tena sio kubahatisha
Je masikini wote Wanaweza kupata hizo connection? Au unaongelea zali la mentali?Mungu ndiye anayepanga mm nimefanikiwa kumpeleka mtoto mpaka India kwenye matibabu na sikuwa na pesa ila Mungu akaniongoza mpaka nikapata connection za government sponsorship. Sasa wewe unahofu, kila mtoto anakuja na sahani yake. Wewe fyatua.
30 year'sUna umri gani
Mimi ni muathirika wa HIV pia ni masikini mkulima mmoja hivi em tuanzie hapo tafadhali.,Kwahiyo wewe ni shoga na teja?
hili neno andika herufi kubwa, la sivyo povu lote linakushukia weweNimeikopy facebook
We zaa boss kama hauna mtoto angalau mpaka 36 uwe na wawili wanakuja na riziki zao pia kwa hizo point utapambana baada ya watoto kuna kanguvu utapata cha kupambana30 year's