Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Plan Yako ya chakula imekufanya kuongezeka mkuu usikate tamaa baddilisha plan ya chakula
Kula usiku ni mbaya zaidi hasa unapokula wanga
Ni Bora ule wanga mchana usiku ule tuu matunda
 
As promised

Man of my words hahahahaaaaaah.

Hii hapa bhana
 

Attachments

Intermittent fasting ndo ikoje
 
Hii kwamtu mwenye madonda ya tumbo inafaa au
 
Sasa mkuu kwa watu wenye madonda ya tumbo hizi njia zakufunga vip
 
Utakuwa mchawi ndio maana hupungui
 
Sasa mkuu kwa watu wenye madonda ya tumbo hizi njia zakufunga vip
Njia rafiki kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo ni kupunguza kiasi cha chakula na sio kufunga. Kufunga kwa huyu mtu mwenye madondavya tumbo inaweza changamoto na ikawa zaidi ya changamoto.
Pamoja na hayo, tafiti zinaonyesha kuwepo kwa faida nyingi sana pale unapofunga. Zipo nyingi sana. So unaweza tumia maji ila usiweke chakula hadi jioni.
 
Intermittent fasting ndo ikoje

Studies zina sema kwamba haupaswi kufuanya fasting ya namna hii kwa muda mrefu unapaswa kufanya week moja , halafu weki nyingine una kula kama kawaida , ( bila wanga na sukari) , ili mwili wako usiweze adopt hali hiyo na kukufanya ushindwe punguza uzuto sababu mwili uta tambua kwamba chakula hakiji tena kwa wakati na ukisha jua hivyo unaamua kituza mfuta yalio po yasitumike kwa njia ya haraka ya kawaida na matokeo yake una weza usiwe una pungua kama utakavyo .
 
Kosa lako kula vyakula vya wanga usiku, ilitakiwa usiku ule matunda tu, na hivyo vyakula wanga achana navyo.
 
Maelezo mazuri kabisa, ubarikiwe kwa ushauri huu mkuu!
 
Hawezi kuwa na 107
Itakuwa 170 kachanganya.
107 duh πŸ˜‚πŸ˜‚ si mbilikimo aisee
 
Na mkeo anakumudu na kilo zako 100
Weeeuhh πŸ˜ƒ
 
Kwahiyo mwili utaendelea kutunza hayo mafuta mpaka lini? Matharani mimi nimeamua kufunga kutwa bila chakula zaidi ya matunda tu, ila usuku saa mbili na kula kipande cha jimbi na greens nataka nifanye hivo kwa mwezi mzima nione matokeo yatakuaje...sasa kwa sitaili hiyo pia mwili utaficha au kutunza yale mafuta?
 
Kosa lako kula vyakula vya wanga usiku, ilitakiwa usiku ule matunda tu, na hivyo vyakula wanga achana navyo.
Naomba unitajie vyakula visivyo kua na wanga ukiondoa hayo matunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…