kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...