kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Umeandika kama umekunywa kimpumu ama kangara
Vurugu gani kila mmoja alikuwa anatetea nafsi yake...Hawako na nani? Hukuona walivyopigwa mabomu na virungu? Au ulitaka na wao warushe mawe mseme chadema ni magaidi?
Unaakisi vinywaji vyako lipia kwa kufanya matangazo!Umeandika kama umekunywa kimpumu ama kangara
Kazungukwa na watoto wanaomjaza kings Kama akina Tindo Lord denning OKW BOBAN SUNZU Chakaza imhotep Salary Slip et alwale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Muda wake wa kwenda ubelgiji umefika hajui atawaachaje..lissu mshamba sana anapenda vitu visivyowezekana unazuia uchaguzi we ni nani hapa tanzania ? yaani ni pimbi sana huyu jamaa
Ukimuondoa Mkuu ChakazaKazungukwa na watoto wanaomjaza kings Kama akina Tindo Lord denning OKW BOBAN SUNZU Chakaza imhotep Salary Slip et al
Una nzi kichwani sio bure ! ShogaUnaakisi vinywaji vyako lipia kwa kufanya matangazo!
Kanawe uso!Una nzi kichwani sio bure ! Shoga
Kenge ni nyapu yako unaliwaJifunze kiswahili kwanza kenge wee!
wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi..ni hvo
Lisu ni mtu wa kufanya vitu vya muda mfupi haswa vya kukomoa,ndio maana alipoambiwa aponye majeraha ya uchaguzi akaendelea kivyake maana anajua ameshawakomesha wapinzani wake.Sasa ndio wameanza kumnanga,na polisi nao mmmh!!.Yeye anazungumza kuzuia uchaguzi baada ya hapo haelezi kitakachoendelea ndio maana hata wananchi wanamwacha maana haieleweki baada ya hapo kinachoendelea na Chama kitakuwaje.Sioni vibaya kusema amekuja kuiua Chademawale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Ila wanaoiba pesa za kodi! Kuhujumu miradi ya wananchi,kutafuna fedha za mashirika ya umma,kusafiri safari za nje zisizokuwa na tija,wanaoteka,kutesa,na kuua raia hao wote ni wanjanja na wenye akili.lissu mshamba sana anapenda vitu visivyowezekana unazuia uchaguzi we ni nani hapa tanzania ? yaani ni pimbi sana huyu jamaa
Sosopi nilimtangulia madarasa mawili. Ni mmasai typical wale wa kuvaa mashuka. Almanusra apige sifuri form 4. Nikashangaa kuja kumwona ni mwanasiasa mkubwa huko CHADEMA. Nadhani Sosopi ni mfano mzuri wa kuwa kufeli mtihani sio kufeli maisha. Pia wazazi/walezi wawasaidie watoto kwenye vipaji vyao. Sio lazima wote tuwe madaktari au wahandisi.Wacha wamtie adhabu kwanza ndio wamuachilie! Eti Ole Sosopi anawaambia Polisi kwamba mkimkamata hapa wananchi watakasirika na kuleta vurugu? Nikashangaa na kujiuliza kama Ole Sosopi ni Mtanzania au Mchina!?
Maono ya kinabii!Lisu ni mtu wa kufanya vitu vya muda mfupi haswa vya kukomoa,ndio maana alipoambiwa aponye majeraha ya uchaguzi akaendelea kivyake maana anajua ameshawakomesha wapinzani wake.Sasa ndio wameanza kumnanga,na polisi nao mmmh!!.Yeye anazungumza kuzuia uchaguzi baada ya hapo haelezi kitakachoendelea ndio maana hata wananchi wanamwacha maana haieleweki baada ya hapo kinachoendelea na Chama kitakuwaje.Sioni vibaya kusema amekuja kuiua Chadema
Kutwa kufuatilia nyuzi zao!Kuna ID ukiziagalia tu unajua humu ni empty set.
Mjinga ni yule anayeandika kutumia simu bila kuwa mstari wa mbele kumsaidia lissu tena ujinga wake ulivyo mwingi mpaka una mwagika atajibu!Mjinga, kama ni hivyo Lisu hapendwi hakubaliki. Mabomu ya nini? Acheni kuhangaika na lissu wajing nyie
wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Kizazi cha kuandamana,kuzuia uchaguzi bila kufuata Sheria Bado hakijazaliwawale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Mtu anakinukisha pasipojulikanaMpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....