mtakatifu wa 2
Member
- Apr 15, 2022
- 37
- 96
Siendi.Nenda kituo cha polisi kaulize sababu
Ninachojua Masisiemu yanawatumia polisi kama chombo chao kuvukuga demokrasia ya nchi.
Siendi.Nenda kituo cha polisi kaulize sababu
chadema wanapambana na ccm siyo polisi acha kujitoa ufahamu mbona hata unazidiwa akili na mwanangu wa awaliMpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
Nenda kapambane na CCM mbona huonekani chamwino wala lumumba umekumbatia simu...chadema wanapambana na ccm siyo polisi acha kujitoa ufahamu
huoni nimewanyoosha hadi wakamwita mbwa wao polisi atutisheNenda kapambane na CCM mbona huonekani chamwino wala lumumba umekumbatia simu...
Kazungukwa na watoto wanaomjaza kings Kama akina Tindo Lord denning OKW BOBAN SUNZU Chakaza imhotep Salary Slip et al
Tusamehe mkongwe, tusamehe sana!!!Mpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
NIliwasamehe tangu sept 23/24!Tusamehe mkongwe, tusamehe sana!!!
🙌🙌
We mnyw ni keyboard warriorMpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
Historia yangu niliandika wakati dkt slaa ni katibu mkuu mbilinge ya unga limited sijui kama ulikuwa umezaliwa..We mnyw ni keyboard warrior
Nimezaliwa 2024Historia yangu niliandika wakati dkt slaa ni katibu mkuu mbilinge ya unga limited sijui kama ulikuwa umezaliwa..
Sawa, tusaidie basi kuiomba mamlaka imuachie Lissu!NIliwasamehe tangu sept 23/24!
Ataachiwa polisi sio mahakama!Sawa, tusaidie basi kuiomba mamlaka imuachie Lissu!
Ama kweli mtu hawezi kumiliki kipara kisha akahesabika anamiliki akili at the same time.Wale wajao hapa...
Kabisa kipara yupo field anapambana lissu atoke wewe uliye na akili umeshika simu unaandika na uoga kibao...Ama kweli mtu hawezi kumiliki kipara kisha akahesabika anamiliki akili at the same time.
wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi..ni hvo
Mjinga sana ni yule anayehubiri amani na kuchukia hakiMjinga ni yule anayeandika kutumia simu bila kuwa mstari wa mbele kumsaidia lissu tena ujinga wake ulivyo mwingi mpaka una mwagika atajibu!
Kuna mahali nimesema napambana Lissu atoke?Kabisa kipara yupo field anapambana lissu atoke wewe uliye na akili umeshika simu unaandika na uoga kibao...