wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Dunia kwa sasa inahangaika na vita ya biashara kati ya USA na nchi moja moja.
Nyinyi kaeni katika key boards mnamdanganya Lissu kuwa mnamuunga mkono. Nendeni Kenya mkajifunze namna ya kiongozi wa kisiasa anavyoungwa mkono.
Nchi hii kwa mfano tangu asubuhi leo watu wanajadili ushindi wa Simba kuingia nusu fainali; wanajadili ndoa ya Manara na mkewe, wanajadilidi vita ya Zuchu na Ritha kumgombea Diamond. Halafu nyinyi mmekaa kwenye key board mnajidanganya mtazuia uchaguzi.
Haya anzeni sasa kumpigania atoke jela kwa hiyo nguvu ya umma wanafiki nyinyi.
Yaani mnategemea dunia ndiyo imtoe jela Lissu.
Lissu atalazimika kuzungumza na Serikali kama Mbowe mliyemkejeli.
Dumia nzima katika siasa wapinzani huwa wanazungumza na serikali iliyopo madarakani huku wakiapply pressure lakini kujidanganya eti wapinzani wanaweza kuingia kibabe madarakani bila vita dhidi ya serikali yenye majeshi ni kujidanganya, tena kwa jamii kama ya watanzania ambao sifa yao kuu ni uoga, kutojali kuwa obsessed na mpira, umbeya wa mapenzi na muziki ni ujuha wa kiwango cha juu.
CHADEMA watakapolazimika kujadiliana na serikali watafanya hivyo kiunyonge na kwa aibu na CCM itakuwa,na upper hand kwa sababu wameharibu wenyewe kwa kiburi cha kipumbavu.