kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Toka ukapambane vidole vina sugu na kucha za bandia unabana pua..tulieni dozi ziwaingie utaweza mageuzi kweli wewe...CCC hoi been taabani, pumzi imekata imebidi waombe msaada wa polisi, tulieni dozi iwaingie
Jana amekamatwa dikteta uchwara ..wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Uchwara ni mama yako mzazi mbuzi wewe inaonekana umezaliwa bila bismirahiJana amekamatwa dikteta uchwara ..wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Jifunze kiswahili kwanza kenge wee!Uchwara ni mama yako mzazi mbuzi wewe inaonekana umezaliwa bila bismirahi
Wacha wamtie adhabu kwanza ndio wamuachilie! Eti Ole Sosopi anawaambia Polisi kwamba mkimkamata hapa wananchi watakasirika na kuleta vurugu? Nikashangaa na kujiuliza kama Ole Sosopi ni Mtanzania au Mchina!?Jana amekamatwa dikteta uchwara ..wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Anajitetea kwa kushindwa kwake kuchukua hatua hao watu ni vinyago vya kulindia mpunga..Wacha wamtie adhabu kwanza ndio wamuachilie! Eti Ole Sosopi anawaambia Polisi kwamba mkimkamata hapa wananchi watakasirika na kuleta vurugu? Nikashangaa na kujiuliza kama Ole Sosopi ni Mtanzania au Mchina!?
Upo bado unaandika...Wananchi wapenda maendeleo tunajiandaa kufanya mapinduzi ili kuiondoa ccm.Mipango tunaisuka na muda siyo mrefu kitawaka nchini na kumfurusha huyo mnyonyaji(ccm)
Umeona hatari yenyewe!Yaani mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kumfuata kiongozi gani ana jazba na mlopokaji?
lissu mshamba sana anapenda vitu visivyowezekana unazuia uchaguzi we ni nani hapa tanzania ? yaani ni pimbi sana huyu jamaawale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Hawako na nani? Hukuona walivyopigwa mabomu na virungu? Au ulitaka na wao warushe mawe mseme chadema ni magaidi?wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Ulitaka afanyeje sasa?lissu mshamba sana anapenda vitu visivyowezekana unazuia uchaguzi we ni nani hapa tanzania ? yaani ni pimbi sana huyu jamaa
Walileta ndio hadi wakapigwa virungu na mabomu au clip hujaona?Wacha wamtie adhabu kwanza ndio wamuachilie! Eti Ole Sosopi anawaambia Polisi kwamba mkimkamata hapa wananchi watakasirika na kuleta vurugu? Nikashangaa na kujiuliza kama Ole Sosopi ni Mtanzania au Mchina!?
Wangese msio na hoja mnapenda sana kukimbilia kuwa wenye hoja wanatukana!wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Tulia uchanjwe chale kiwenbe ni kipya..Wangese msio na hoja mnapenda sana kukimbilia kuwa wenye hoja wanatukana!