Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

Magufuli hakuhitaji watu wa kumpamba na kumuumbia sifa bali utendaji wake ndio ulimbeba.. unakumbuka watu kujaa kwenye tv kila saa 2 usiku kuangalia taarifa ya habari leo hayo yapo ?
 
... kila jambo ni muendelezo tokea kuumbwa kwa Dunia!
Ulitaka Samia atelekeze yote ya Magufuli aanze yake?
😅
 


❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫📛📛📛📛📛📛📛📛📛📛😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡

Acha uongo
 
Bandari, machinga, installation charges za umeme for first time, mbuga za wanyama, 4R, kufa kwa mwendo kasi, kusua sua kwa ATC, bunge live, ziara za mara kwa mara nje ya nchi nk haya sio ya Magufuli . Tudanganye na mengine
Bandari ina nini?? Charge za umeme ? Mbuga za wanyama zimefanyaje? Au ile kuoeleka twiga chato burigi,mwendo kasi upi umekufa leo nimepanda,bunge live lilizuiwa kipindi cha nani?ziara ndio zimeleta mafanikio hadi uliyoyaona jana na leo
 
Mao aliacha Mimba nyingi sana.
Sasa wajukuu chuki wamezaliwa na wamebalehe.
 
JPM.Hakuongoza nchi kidhalili hivi.
 
Hakika kila kitu.

Nishati Safi - SGR- ATL n.k
 
FLYOVERS
MADARAJA
UMEME RUFIJI
RELI YA UMEME
VYETI FEKI
ULAJI WA BAGAMOYO
ETC ETC
RIP JPM
 
Kila anayemkosoa magufuli alikuwa na cheti fake? Yeye mwenyewe kama PhD yake ingekuwa halali Ben Saa8 angepotea?
Kuhusu uigaji wa dili, CAG Assad alipobainisha upotevu wa 1.5T, magu alimtendea nini? Pesa ya 'plea bargain' iliingia account ipi? Kwanini magu alizuis hesabu za Atcl zisikaguliwe na CAG?
 
Utakuja kufa ukiwa mchawi na bado utawasingizia wazazi wako kukufanya uwe mchawi
 
Kwaiyo mpaka unatowa pongezi uchawa umekwisha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…