Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

Kila anayemkosoa magufuli alikuwa na cheti fake? Yeye mwenyewe kama PhD yake ingekuwa halali Ben Saa8 angepotea?
Kuhusu uigaji wa dili, CAG Assad alipobainisha upotevu wa 1.5T, magu alimtendea nini? Pesa ya 'plea bargain' iliingia account ipi? Kwanini magu alizuis hesabu za Atcl zisikaguliwe na CAG?
Hawa vijana wapumbavu hawajui chochote katika nchi hii. Wajinga sana achana nao
 
FLYOVERS
MADARAJA
UMEME RUFIJI
RELI YA UMEME
VYETI FEKI
ULAJI WA BAGAMOYO
ETC ETC
RIP JPM
Umessahau na kile kivuko cha bwagamoyo alichokabidhi geshi.
Umesahau na nyumba zilizogawiwa mahawara.
 
Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule.
•Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni kumsifia Magufuli tu.
Yanayofanyika sasa ni reflection tu ya utawala wa Magufuli.
Mmesahau akina Musiba, wasanii walivyopewa kofia za kijani na matukio mengine?
•Watu hawakuruhisiwa hata kutamka jina la Magufuli kwa mtazamo hasi, kumtaja Magufuli pasipo kumwagia sifa kwenye chombo chochote cha habari lilikuwa kosa kubwa la kuhatarisha uhai wako.
•Kikundi kidogo almaarufu Sukuma gang kilikuwa na nguvu ya kuamuru huyu afungwe, huyu atekwe, huyu apewe kesi ya uhujumu uchumi, yule apewe kesi ya madawa ya kulevya.
Hili sasa limepungua. Hongera utawala wa Rais Samia.
Unaudanganya Umma wazi wazi hivi hivi🤣🤣🤣🤣🤣

Pamoja na mapungufu yake, siezi andika Upumbavu na Ujinga wa 5G kuhusu marehemu Pombe Magufuli, pamoja na kuwa mimi ni CHADEMA

Sawa Kamwelle
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule.
•Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni kumsifia Magufuli tu.
Yanayofanyika sasa ni reflection tu ya utawala wa Magufuli.
Mmesahau akina Musiba, wasanii walivyopewa kofia za kijani na matukio mengine?
•Watu hawakuruhisiwa hata kutamka jina la Magufuli kwa mtazamo hasi, kumtaja Magufuli pasipo kumwagia sifa kwenye chombo chochote cha habari lilikuwa kosa kubwa la kuhatarisha uhai wako.
•Kikundi kidogo almaarufu Sukuma gang kilikuwa na nguvu ya kuamuru huyu afungwe, huyu atekwe, huyu apewe kesi ya uhujumu uchumi, yule apewe kesi ya madawa ya kulevya.
Hili sasa limepungua. Hongera utawala wa Rais Samia.
Sugu gang watasema wanaenda na Kibaraka Lisu cc johnthebaptist
 
Attachments

  • IMG-20250128-WA0054.jpg
    IMG-20250128-WA0054.jpg
    142.5 KB · Views: 1
  • images (93).jpeg
    images (93).jpeg
    38.2 KB · Views: 1
FLYOVERS
MADARAJA
UMEME RUFIJI
RELI YA UMEME
VYETI FEKI
ULAJI WA BAGAMOYO
ETC ETC
RIP JPM
Baelezeeee baeleweee.

Kuna hao bengine banakaribia kurudishwa🤣🤣🤣🤣🤣 kwa uwongo yao.
 
Sera ya Uchawa ndiyo inachangia kuharibu regacy ya watu!
Aliyofanya Mkapa ni Kikwete alifanya,aliyofanya Kikwete ni Magufuri alifanya,aliyofanya Magufuri ni Mama aliyafanya!
One man show!
 
Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule.
•Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni kumsifia Magufuli tu.
Yanayofanyika sasa ni reflection tu ya utawala wa Magufuli.
Mmesahau akina Musiba, wasanii walivyopewa kofia za kijani na matukio mengine?
•Watu hawakuruhisiwa hata kutamka jina la Magufuli kwa mtazamo hasi, kumtaja Magufuli pasipo kumwagia sifa kwenye chombo chochote cha habari lilikuwa kosa kubwa la kuhatarisha uhai wako.
•Kikundi kidogo almaarufu Sukuma gang kilikuwa na nguvu ya kuamuru huyu afungwe, huyu atekwe, huyu apewe kesi ya uhujumu uchumi, yule apewe kesi ya madawa ya kulevya.
Hili sasa limepungua. Hongera utawala wa Rais Samia.
Wewe utakuwa fisadi au shoga mlionyooshwa na Magufuli na bado anawanyoosha mpaka sasa ndio maana unamkumbuka hadi leo.
 
Mimi kipindi cha Magufuli nimepata sana pesa za serikali na kipindi hichi cha Samia napata sana pesa za serikali.
Maisha yangu hayajatikiswa na utawala wa Magufuli au Samia.
Ila Magufuli alikuwa Rais wa hovyo sana, kila mwenye akili timamu anajua hilo
 
Wa ovyo ni mama yako aliyekuzaa ndio maana unaongea ovyo kwa Rais mpendwa wa TZ.
 
Mimi kipindi cha Magufuli nimepata sana pesa za serikali na kipindi hichi cha Samia napata sana pesa za serikali.
Maisha yangu hayajatikiswa na utawala wa Magufuli au Samia.
Ila Magufuli alikuwa Rais wa hovyo sana, kila mwenye akili timamu anajua hilo
Huna hizo akili timamu.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom