Mkuu nimekusaidia zaidi, fungua hii link hapo chini na udownload file ambalo nimeshaweka .strm extention...
Lihifadhi katika folder kwa kompyuta yako na uendelee na process nyingine kama nilivyoelekeza awali...
https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRTFE5REFJdXFsdTg/view?usp=sharing
Dah!!!!! Mkuu ushukuriwe sana kwa msaada wako, yani kama ulijua tu maana huku kubadili tu extension ilikuwa kimbembe aisee, yani mimi kama mdau wa hili jukwaa nimethamini mchango wako na nakupandisha cheo we uko level za wakina chief mkwawa, big up man now nacheki azam on kodi
Mkuu nimekusaidia zaidi, fungua hii link hapo chini na udownload file ambalo nimeshaweka .strm extention...
Lihifadhi katika folder kwa kompyuta yako na uendelee na process nyingine kama nilivyoelekeza awali...
https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRTFE5REFJdXFsdTg/view?usp=sharing
Pamoja sana nafikiri watumie hii option zaidi naona channel ikiwa SD hata net iwe slow vipi una stream tu
Naomba kama una stream ya channel ya start v naiomba
Hii njia ni rahisi isipokuwa namna ya kuzitambua hizi links ni kazi kidogo...
Binafsi ilinichukua masaa kadhaa hadi kuziweka sawa maana inabidi upate 'host na stream' katika source file ya website inayostream...
Ya Star TV ninayo mkuu ila huwa kuna wakati wale jamaa wanatoka hewani kama kipindi hiki cha karibuni naona hawapo hewani...
rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp
Najua wewe ni mkongwe utaweza kuiweka hiyo link kwa .strm file...
Ok pamoja kuna na hizi za Husham ulizotoa link ilopita zitafaa kwa kutengeneza .strm file?
Mfano mm nataka ku load hii Link na sitaki kutumia PVR IPTV Simple client
https://raw.githubusercontent.com/hmemar/husham.com/master/Lists/uk-english.m3u
update!
Lengo langu ilikua nikutengeneza custom channel list nakuondoa zile ambazo siziangalii
Ila naona hata PTV IPTV Simple client inaweza ku load custom file m3u ambayo una unaitengeneza mwenyewe na kuweka list ya channel unazoangaliaga tu
Mkuu kwa kutazama content ya links ulizonitumia kwa haraka naona itakuwa ngumu kutengeneza .strm kwa kila channel...maana nikijaribu kuzitazama sioni source ya stream ni ipi...
Isipokuwa unaweza kuzitazama kwa kufuata mtiririko ule ule ambao nimeelekeza kwa ile Azam TV isipokuwa sasa hivi utazi-save kwa extention ya .m3u (hii ni mahsusi kama una playlist ya channel zaidi ya moja)...
Hii link uliyonitumia copy kila kitu unachokiona na kiweke katika text file na kisha lisave hilo file kwa extention ya .m3u...
Then ukiwa kwa Kodi tumia mtindo ule ule wa mwanzo nilioelekeza wa ku-add .strm file
This time utapata list ya channels badala ya channel moja pekee...
NB:
Kama kuna channels ambazo huzihitaji ina maana utazifuta wakati ule unatengeneza file la m3u.
Yeah nshaisoma fresh Mm nilichofanya ni kama inavyooonekana kwenye hii picha
Hapa ntatengeneza custom List ya channel nazopenda tu, achana na zile m3u unapakua unakuta channel 200 unashindwa uangalie ipi uache ipi na mpaka upate channel unayotaka nayo ni shida pia
Kuna Kipindi nilisha load mpaka channel zikawa book ikawa ni tabu kutafuta channel yako nzuri ipo namba ngapi
Results zangu kutumia PVR IPTV Simple client hizi hapa chini
Naziomba hizo Local Mkuu kama una URL zakeHii nzuri mkuu na nimeipata vyema...
Zaidi mtihani mkubwa ambao nimekuwa nikihangaika nao bila mafanikio ni kuziweka kwa Kodi tv kadhaa za Kenya ambazo zipo online kama Citizen, NTV, K24 na hata pia CloudsTV...
Naziomba hizo Local Mkuu kama una URL zake
Hizo TV za kenya zinapatikana www.kenyamoja.com...
Hizo TV nadhani zinatokea kwenye servers za livestream.com...
Sasa ukitazama source file zake inakuwa ngumu kuipata url path inayostream...
Ngoja ni ingie chimbo nione kama ntaweza Grab URL zake
Ngoja ni ingie chimbo nione kama ntaweza Grab URL zake
Kuna link mwisho WA tutorial ifuate, Ina plugins nyingi na namna ya kuzieka
Am impressed na hicho kidude
Kuhusu Internet Nakuhakikishia kama upo DSM Providers kama Zantel,Vodacom na AirteL wata meet demands zako katika Upande wa 3G
Ukitembelea ile link alotoa Chief watu wameweka speed test kadhaa na ukifatilia utaona mtandao wa Airtel na Zantel inaonesha kuwa na Ping speed ndogo hivo inafaa
Zantel wanayo bundle ya 25,000/= per month na 45GB nafikiri
Inaweza kukufaa hiyo maana nahisi ndo cheapest yet speed yao ni competitive
Kama una hela ya ziada kuweka waweza consider Side B ya 4G hapa utawakuta wakina Smart,Tigo na Smile
idm inazipata kiurahisi
Yap fanya kama unadownload idm itaprompt kama hiviNaona IDM inasema download this video ila uki click hiyo button inakua ni kama ime capture tu video kibao
Maelezo zaidi jinsi ya kuzi capture hizo