Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Kwa nn isioneshe Live labda?Hiyo acc. ni shilingi ngapi. inapatikanaje? Je, inaonesha live? Muhimu: TV yangu haina port ya HD In.
Kwa nn isioneshe Live labda?
Maana unakua una stream real channel
Bei zake ziko chini ya 50,000/= kwa mwaka tembelea JF Matangazo kuna wauzaji huko wa Qsat wanauza pia hizo account
Binafsi kwa kupitia hii Kodi huwa natazama channels zote za Bein, gharama pekee niingiayo ni kununua internet tu...
Mkuu naomba unitajie addon yenye bein sports niitafute
Bila shaka wewe umedownload remote app za kodi/xbmc ndio maana umeandika haya...
Kama sijakosea Google playstore hawana app ya kodi so far, ukitaka kudownload app yao inakupasa uende mtandao wa kodi, Chief-Mkwawa kauweka pale juu
Paki India Live inazo zoteMkuu naomba unitajie addon yenye bein sports niitafute
Paki India Live inazo zote
Hiyo paki india umeijaribu recently na imekubali?, maana me niliinstall lakini imegoma kufunguka
Hiyo paki india umeijaribu recently na imekubali?, maana me niliinstall lakini imegoma kufunguka
Kama sijakosea nimeitumia jana usiku let me get to PC ntakuonesha cha kufanya
Mkuu app ya kodi ipo playstore nilidownload
Mkuu una uhakika ipo playstore?
Yes mkuu niko sure coz niliinstall kwangu
Yes mkuu niko sure coz niliinstall kwangu
Haha mkuu nakuambia kweli cheki screenshotMkuu naungana na Watu8 utakuwa umedownload remote app ya Kodi..kama bado inakusumbua iondoe Kisha fuata link iliyowekwa na Chifu...
Mimi nimejaribu ni rahisi sana..now naangalia mechi ya Arsenal na Liverpool BeinSport1.
Mkuu hii ni screenshot toka playstore..hamna Kodi app hapo.
Sawa mkuu
Zinafanya kazi
Fanya Uninstall uinstall upya labda
Tatizo la Bein sports karibia zote ni HD so jipange kidogo
wakati Sky sports karibu zote ni SD 480p una uhakika wa kucheki match nzima bila tatizo la maana

jana nimeinstall phoinex nikazipata hizo bein sport lakini tatizo ninalokumbana nalo nikilunch bein sport moja wapo ili niangalie inaload tuuuu bila kuonesha chochote na kutoa ujumbe najiuliza tatizo litakua nini?
Mkuu naomba unitajie addon yenye bein sports niitafute
Mkuu app ya kodi ipo playstore nilidownload