Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Zinafanya kazi

Fanya Uninstall uinstall upya labda

Tatizo la Bein sports karibia zote ni HD so jipange kidogo

wakati Sky sports karibu zote ni SD 480p una uhakika wa kucheki match nzima bila tatizo la maana




kamanda wang hzo bein sport unazpata plugin gan au sehem gan
 

Hiyo taarifa muhimu sana mkuu, now umenitoa wasi wasi mkuu, nilikuwa naona maluwe luwe tu hapa
 
Hiyo taarifa muhimu sana mkuu, now umenitoa wasi wasi mkuu, nilikuwa naona maluwe luwe tu hapa

Ndio hivyo mkuu inakubidi uwe na account ya VPN ili angalau uweze kufaidi...
 
Hatimaye baada ya kuhangaika nimekutana na hii kitu Chif mkwawa, ni android apk waweza ingia kwenye ofisho site yao haina mambo mengi we download kisha instal fanya yako
 

Attachments

  • 1437720125718.jpg
    31.4 KB · Views: 332
  • 1437720149228.jpg
    33.2 KB · Views: 305
  • 1437720167792.jpg
    22.1 KB · Views: 300
Hata kwa simu taratibu ni huohuo tu, nimefanikiwa kuweka kwenye simu kwa kufuata utaratibu huo.

Sawa kaka ila usjal nimepata MOBDRO Imenipa kila kitu nilichohitaaj kaka,yaan iko powa wala haina buffer za ajabu ajabu tena speed yangu iko 322/723 kbps na inarun powa sana kwa hd na sd zote
 
Sawa kaka ila usjal nimepata MOBDRO Imenipa kila kitu nilichohitaaj kaka,yaan iko powa wala haina buffer za ajabu ajabu tena speed yangu iko 322/723 kbps na inarun powa sana kwa hd na sd zote

Tufundshe na cc umeipataja mkuu
 
Tufundshe na cc umeipataja mkuu

Powa kamanda cha kufanya nenda kwenye ofisho site yao au ingia gugo pia sach MOBDRO for android apk itakuja hapo kisha ingia kwenye site yao kisha download apk ina kama mb19 hivi instal kisha run kwisha kazi
 
Bein utazipata kwenye pak india live add-on

Tatizo la bein zote HD may be kwa pc au high end devices, ila kwa hivi vimeo vyetu ni shida nyingine labda kwa skysport ambayo inarun kote sd na hd
 
Aisee kodi safi sana jana nimestream movie ya mad max mwanzo mwisho bila shida na quality nzuri kabisa coz me huwa nasubiria torrents za yify ndio nicheki movie na bado ya madmax hajatoka so kodi imenisave sana... Big up chief mkwawa❕❕❕
 

Umepataje movies...maana nimetafta sijapa movies humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…