Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Binafsi nilinuna SMART Tv box (Zoomtak) ambayo ndo nimeistall KODI/XBMC but challange imekuwa ni internet, both speed and affordability. sasa sijui ni opeator gani mzur hapa bongo kwa speed na pia gharama za chini kwa bundle.

Napendelea addons kama Genesis, Phonex pamoja na Decado Documentaries bila kusahau KMediaTorrent
 
Ndio hivyo mkuu inakubidi uwe na account ya VPN ili angalau uweze kufaidi...

Mkuu Watu8 unamaanisha hiyo account y VPN itaniwezesha kupata addons ambazo hazipatikani niliko? sijakupata vizuri
 
Last edited by a moderator:

Kama haupo dar cheki na smart kama wanakupa speed nzuri, nafkiri kile Kifurushi cha 20,000 bado kipo kwa mwezi
 
Am impressed na hicho kidude

Kuhusu Internet Nakuhakikishia kama upo DSM Providers kama Zantel,Vodacom na AirteL wata meet demands zako katika Upande wa 3G

Ukitembelea ile link alotoa Chief watu wameweka speed test kadhaa na ukifatilia utaona mtandao wa Airtel na Zantel inaonesha kuwa na Ping speed ndogo hivo inafaa

Zantel wanayo bundle ya 25,000/= per month na 45GB nafikiri
Inaweza kukufaa hiyo maana nahisi ndo cheapest yet speed yao ni competitive

Kama una hela ya ziada kuweka waweza consider Side B ya 4G hapa utawakuta wakina Smart,Tigo na Smile
 
Mkuu Watu8 unamaanisha hiyo account y VPN itaniwezesha kupata addons ambazo hazipatikani niliko? sijakupata vizuri
Ndio VPN inaweza ku fake Identity yako online ukaonekana upo USA kumbe upo Tandale kwa Tumbo[emoji2]
Kumbuka Online tunakua Identified na IP adress,uki connect VPN na server fulani e.g ya USA unapewa IP Adress mpya ya nchi usika
 
Last edited by a moderator:
Kama haupo dar cheki na smart kama wanakupa speed nzuri, nafkiri kile Kifurushi cha 20,000 bado kipo kwa mwezi

Nishawahi test SMart 4G iko poa sana but but itanibid tena ninunue dongle yao ya 4G ambayo inacost 220,000/= . may be kama naweza nikapata a cheap modem ya 4G i can go for smart.
 
ntafuatilia zantel nijue ikoje. Nipo DSM.Thanks
 
Mkuu hiyo box ulinunua nje au if nje naomba nitajie bei yake na ya shipment inavyocost
 
Hii nzuri kiongoz. Ubarikiwe
 
Nishawahi test SMart 4G iko poa sana but but itanibid tena ninunue dongle yao ya 4G ambayo inacost 220,000/= . may be kama naweza nikapata a cheap modem ya 4G i can go for smart.

Kama upo dar smart si chaguo zuri, sisi WA mikoani unlimited tunapata kwa 20,000 tu. Dar smart hawana 3g.

Cheki na hio zantel kama alivyosema njunwa
 
Nishawahi test SMart 4G iko poa sana but but itanibid tena ninunue dongle yao ya 4G ambayo inacost 220,000/= . may be kama naweza nikapata a cheap modem ya 4G i can go for smart.
Modem zinapatikana kwa <90,000/= eBay
Beware unaponunua modem ya 4G uinunue with full knowledge or less haitofanya na mtandao unaokusudia

Faida ya router ya Smart unapewa free 65GB
 
Mkuu Watu8 unamaanisha hiyo account y VPN itaniwezesha kupata addons ambazo hazipatikani niliko? sijakupata vizuri

Ukiwa na account ya VPN maana yake utaweza kufungua geo-restricted addons...

Mathalani kuna addons nyingine zinataka mtu awepo UK tu na wakati huo wewe upo Msumbiji...

Ukiwa na VPN account unapewa IP ambayo inakufanya uonekane upo UK...

Kwa kufanya hivyo utaweza kustream hayo mautamu ya UK...
 
Last edited by a moderator:

Asante nimekupata vizuri mkuu
 
Wanao changamoto ya VPN, mimi hutumia Hola VPN, ni bure na inapatikana Playstore na kwa browser, kuna add ya Chrome.
 
Ndio hivyo mkuu inakubidi uwe na account ya VPN ili angalau uweze kufaidi...

Jamani mimi naomba maelekezo yakueleweshwa jinsi ya kuipata na ku-istall VPN na pia jinsi ya kuitumia...tusichekane ushamba kazi
 
Jamani mimi naomba maelekezo yakueleweshwa jinsi ya kuipata na ku-istall VPN na pia jinsi ya kuitumia...tusichekane ushamba kazi

Mkuu kuandika kila kitu huwa ni ngumu sana kwa kuwa sisi wengine si wapenzi sana wa kuandika...

jaribu kuitazama hii video fupi tu na utaweza kuelewa japo kwa uchache sawasawa na maswali yako...

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…