Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Katika keyboard yako (nadhani unatumia laptop au desktop pc)...

Bofya button iliyochorwa alama | na \, kawaida hiyo button huwa upande wa kulia chini ya Backspace na juu ya Enter...

Hapo utatoka au kuingia Full screen mode, from there utaweza kuiminimize kwa mouse kawaida...

Vipi kuhusu ku-minimize wakati unatumia KODI maana nimetafuta option ya ku-minimize sijaona kwani wakati mwingine unakuwa unataka kusikia sauti tu huku unafanya mambo mengine ili kama kuna kitu kipo interesting ndipo audio-visual ina apply
 
Mkuu nitafuatilia issue yako, then nitarudi hapa...

naomba msaada wako Watu8 nimeinstall pak india tatizo linalonikuta kila nikitaka kuifungua niangalie chanel zake inaniletea ujumbe huu
"error check log for more information"
sasa sijui hapo tatizo ni nini
 
Last edited by a moderator:
Katika keyboard yako (nadhani unatumia laptop au desktop pc)...

Bofya button iliyochorwa alama | na \, kawaida hiyo button huwa upande wa kulia chini ya Backspace na juu ya Enter...

Hapo utatoka au kuingia Full screen mode, from there utaweza kuiminimize kwa mouse kawaida...
Kaka shukrani nimefanikiwa mkuu
 
Mkuu ninahisi kuna shida katika eneo/nchi ulilopo kijiografia au hizo link za TV unazozifungua zimekufa...

Kwa uelewa wangu Pak India haifunguki nchi zote...

naomba msaada wako Watu8 nimeinstall pak india tatizo linalonikuta kila nikitaka kuifungua niangalie chanel zake inaniletea ujumbe huu
"error check log for more information"
sasa sijui hapo tatizo ni nini
 
Last edited by a moderator:
nipo Tanzania mkuu

Hapo tatizo sijui nini mie ilikuwa inakuja hiyo message kama network imekata au jaribu kubadilisha kampuni la simu kwa muda maana wakati mwingine unaweza ukatumia TTCL kitu kinagoma ukitumia Internet ya Voda inakubali, hii nimeexperience kwenye video mbalimbali za kwenye website kuna zingine zinakataa hasa TTCL unaambiwa upo nje ya zone lakini ukiweka voda inakubali (mie sio mtaalam ila najaribu kutoa uzoefu ila haihusiani kodi ila jaribu kama sehemu ya trouble shooting)
 
Nimejitahidi kuokoteza stream link na kuzilist pamoja.
Kidogo nami natoka tongo tongo ingawa live stream nimeanzia kule kwa warusi.
Package niliyookoteza ni ya baadhi ya Afrika Tv.
JF imekataa support strm file so nimelizip,just extract na kuanza kutumia kama alivyoelekeza Watu8
 
Attachments

Last edited by a moderator:
Kama alivyosisitiza franco hapo juu kama smartphone yako haikidhi vigezo vya kuinstall KODI...

Huna budi kutumia MX Player ambayo itakusaidia kutazama Azam 2 (link yake hii hapa http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8).
Ukishainstall MX Player toka Google store, fanya kuifunga hiyo link kwa MX Player...

Na kwa TV nyinginezo unaweza kutafuta app yaitwa Mobdro (ingia www.mobdro.com kuipakua)

Tafadhari wana jamvi mtu yoyote mwenye link za tv za hapa nyumbani dondosha link hapa....
 
Last edited by a moderator:
Tafadhari wana jamvi mtu yoyote mwenye link za tv za hapa nyumbani dondosha link hapa....

Zaidi ya StarTV na Azam 2 hadi sasa hakuna link nyingine yoyote ambayo ipo tayari kwa TV za hapo Tanzania...
 
Zaidi ya StarTV na Azam 2 hadi sasa hakuna link nyingine yoyote ambayo ipo tayari kwa TV za hapo Tanzania...

Mkuu watu8 tupia hiyo ya startv ....natanguliza shukrani kwako.
 
Back
Top Bottom