msaada juu ya ujumbe huu kwenye kufungua pak india baada ya kuinstall kwenye kodi
Kuna aina mbili, Pak India na Pak India Live. Hiyo Live ni safi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msaada juu ya ujumbe huu kwenye kufungua pak india baada ya kuinstall kwenye kodi
Kuna aina mbili, Pak India na Pak India Live. Hiyo Live ni safi sana.
Vipi kuhusu ku-minimize wakati unatumia KODI maana nimetafuta option ya ku-minimize sijaona kwani wakati mwingine unakuwa unataka kusikia sauti tu huku unafanya mambo mengine ili kama kuna kitu kipo interesting ndipo audio-visual ina apply
naomba msaada wako Watu8 nimeinstall pak india tatizo linalonikuta kila nikitaka kuifungua niangalie chanel zake inaniletea ujumbe huu
"error check log for more information"
sasa sijui hapo tatizo ni nini
Kaka shukrani nimefanikiwa mkuuKatika keyboard yako (nadhani unatumia laptop au desktop pc)...
Bofya button iliyochorwa alama | na \, kawaida hiyo button huwa upande wa kulia chini ya Backspace na juu ya Enter...
Hapo utatoka au kuingia Full screen mode, from there utaweza kuiminimize kwa mouse kawaida...
Mkuu nitafuatilia issue yako, then nitarudi hapa...
naomba msaada wako Watu8 nimeinstall pak india tatizo linalonikuta kila nikitaka kuifungua niangalie chanel zake inaniletea ujumbe huu
"error check log for more information"
sasa sijui hapo tatizo ni nini
Mkuu ninahisi kuna shida katika eneo/nchi ulilopo kijiografia au hizo link za TV unazozifungua zimekufa...
Kwa uelewa wangu Pak India haifunguki nchi zote...
nipo Tanzania mkuu
Kama alivyosisitiza franco hapo juu kama smartphone yako haikidhi vigezo vya kuinstall KODI...
Huna budi kutumia MX Player ambayo itakusaidia kutazama Azam 2 (link yake hii hapa http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8).
Ukishainstall MX Player toka Google store, fanya kuifunga hiyo link kwa MX Player...
Na kwa TV nyinginezo unaweza kutafuta app yaitwa Mobdro (ingia www.mobdro.com kuipakua)
Tafadhari wana jamvi mtu yoyote mwenye link za tv za hapa nyumbani dondosha link hapa....
Zaidi ya StarTV na Azam 2 hadi sasa hakuna link nyingine yoyote ambayo ipo tayari kwa TV za hapo Tanzania...
Mkuu watu8 tupia hiyo ya startv ....natanguliza shukrani kwako.
rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp
Hiyo ya startv imekaa kimagumash maana mda wote haifunguki tofauti na Azam twortmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp
Hiyo ya startv imekaa kimagumash maana mda wote haifunguki tofauti na Azam two