Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Kama hayajafika msiwe na Shaka endeleeni kumwamini mh Rais wetu mpendwa maana mawazo yake yapo katika kuona watanzania Tunapata maji Safi na salama60yrs on huku lingusenguse hatuna maji Safi na salama, mpwapwa hawana nao na Dar imeanza mgao wa maji, ushauri wa kujenga mabwawa kama metro nyingi duniani mlipuuzia, underground drainage systems ya Dar serikali hii imeua maana tungekua na uwezo wa kufanya recycling ♻ ya maji