Kila Waziri aliyeteuliwa na Rais Samia ajiulize ataifanyia nini Wizara aliyopewa ili kuwasha taa ya matumaini kwa Watanzania

Kama hayajafika msiwe na Shaka endeleeni kumwamini mh Rais wetu mpendwa maana mawazo yake yapo katika kuona watanzania Tunapata maji Safi na salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…