darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Naye ni mwanasheria msomi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihangaike Erythrocyte, nakuhakikishia kuwa nafasi zote za uteuzi zilizofanyika baada ya 2016 ni watu wabovu ambao dunia haijapata kushuhudia kutokea Tanzania!Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.
Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?
Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .
Ngoja tuone mwisho wake .
Ondoa akili yako mbovu hapa. Yule mwendawazimu anayeingiza watu bungeni ambao wamehama vyama au kufukuzwa uanachama wa vyama vyao alindwe kwa faida ya nani!? Takataka sana.Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini? Sheria ipo wazi hii inamhusu kumshitaki kwa makosa ambayo yanahusu utendaji wake wa kazi.Ndio maana unapeleka mashitaka kwa Ag.
Lakini yeye binafsi kama akifanya ufisadi wapi imezuiwa kumshitaki?
Aibu kubwa sana .sehemu nyeti awamu hii yamewekwa maboya
Vijana wa ccm ndani ya vichwa vyao nadhani kumewekwa uji wa uleziOndoa akili yako mbovu hapa. Yule mwendawazimu anayeingiza watu bungeni ambao wamehama vyama au kufukuzwa uanachama wa vyama vyao alindwe kwa faida ya nani!? Takataka sana.
ni kweli , si ndio kashauri Mwambe arudi bungeni kwa tiketi ya ccm bila uchaguzi !Hapa nionacho ni ueledi wa jamaa unaibua madudu ya watu fulani. Huwezi mpenda ktk hilo!
Dah..ni kweli , si ndio kashauri Mwambe arudi bungeni kwa tiketi ya ccm bila uchaguzi !
inawezekana uko sahihi lakin mbona hoja yako iko general sana,hebu kuwa specific nasisi tupate mwanga,ni sifa gani ambazo AG anatakiwa awe nazo ambazo huyu wa sasa hana????aliokotwa tu barabarani kwa sababu zinazofahamika
Mjadala huu umejadiliwa kwa kirefu sana humu jukwaani hatutarudia , tafuta uzi wa uteuzi wa Kilangi kila kitu kimejadiliwa mle mpaka kesi zilifunguliwa kupinga uteuzi wake , kwa sababu ulivunja sheria za nchiinawezekana uko sahihi lakin mbona hoja yako iko general sana,hebu kuwa specific nasisi tupate mwanga,ni sifa gani ambazo AG anatakiwa awe nazo ambazo huyu wa sasa hana????
Je sifa hiyo anayo?inawezekana uko sahihi lakin mbona hoja yako iko general sana,hebu kuwa specific nasisi tupate mwanga,ni sifa gani ambazo AG anatakiwa awe nazo ambazo huyu wa sasa hana????
aliokotwa tu barabarani kwa sababu zinazofahamika
Nimeikuta sehemuKuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.
Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?
Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .
Ngoja tuone mwisho wake .
Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini? Sheria ipo wazi hii inamhusu kumshitaki kwa makosa ambayo yanahusu utendaji wake wa kazi.Ndio maana unapeleka mashitaka kwa Ag.
Lakini yeye binafsi kama akifanya ufisadi wapi imezuiwa kumshitaki?
Au umeamua kwa makusudi kukosoa tu ili kujiongezea posho yako ya leo pale ufipa?aliokotwa tu barabarani kwa sababu zinazofahamika