Kilangi aweza kuwa ndiye AG mbovu kuliko wote waliowahi kuhudumu nchini Tanzania tangu Wakoloni waondoke

Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
Mbona unazungukazunguka sema tu kisa ni gaidi kusweka ndani ndio ,maana mna chuki , Prof kaokotwa? unaijua CV yake? haya sasa ni majungu.
 
Kuelekea mkutano wa Baraza la Usalama UN hapa kwetu TZ tutaona mengi..sishangai AG kuwekwa kando..
 
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
hahahahaaaa....imeshakula kwake
 
Usihangaike Erythrocyte, nakuhakikishia kuwa nafasi zote za uteuzi zilizofanyika baada ya 2016 ni watu wabovu ambao dunia haijapata kushuhudia kutokea Tanzania!
Jaribu kutafuta hata mmoja tuu unitajie ambaye ni bora aliyepo katika ofisi ya umma.
Kumbuka hata uwe mzuri kiasi gani, kama unayaona mabovu kwa nafasi yako hata kunyamaza kwako ni ubovu mkubwa
Sidhani kama ni wabovu. Ni ma mafia ili waendani na Mafia Mkuu Jiwe.
 
Kilangi ni "Victim of Circumstances", hii hali inawakumba wote wanaohudumu katika utawala huu kwa sasa. Wanalazimika kucheza muziki wowote unaopigwa na DJ...!!!!

Sasa hivi taasisi zote zimekufa na zimebakia kwenye makaratasi tu, sio ya Kilangi peke yake.

Mwaka 1974 aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda alimwambia aliyekuwa rais Dictator Idi Amin kuwa serikali haikuwa kabisa na fedha ndipo Amin alipomwambia huyo Gavana kuwa:

"Print more money, the governments never go bankrupt because they're the ones who print money, so you just print more money".

Na huyo Gavana alifanya hichohicho alichoagizwa na rais wake na kilichofuata ni historia sasa ila tunakumbuka tuliyokuwepo.

Hivyo watu waoga hufanya kazi kulingana na matakwa ya bosi wao na wala hawawajibiki kufuata matakwa ya taaluma yao au hata weledi ila kwa wenzetu wazungu hili halipo kabisa...!!!!

Miaka ya nyuma wakati dikteta Al Bashir akiitawala Sudan, aliwahi kuamuru watu waliopatikana na hatia kwa makosa ya wizi wapelekwe hospitalini na madaktari wawakate mikono.

Walivyofikishwa hospitalini madaktari walikataa kutii amri hiyo wakidai ilikuwa ni kinyume cha maadili ya taaluma yao kumkamata mtu kiungo bila sababu za kitiba (Without Underlying Medical Grounds) lkn pamoja na kutishiwa kufungwa jela, madaktari walishikilia msimamo wao na kizaazaa kiliisha baada ya nchi za nje kuingilia na madaktari kuachiwa bila masharti.

Hivyo watu wenye misimamo kama madaktari wa Sudan kwa bahati mbaya Tanzania hatunao, tuna watu wanaoona fursa za kuteuliwa kama "Privilege" inayomfanya amuabudu aliyemteua na kusalimisha maadili ya taaluma yake. Tuna safari ndefu sana kuja ku-catch up na wengine.
Jiwe ameharibu nchi hii. Na hizi ni matokeo
 
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
Mimi nilivyojua hatukuwa na AG na nashangaa kusikia katumbuliwa! Mbona sikuwahi kumsikia hata mara moja hadi leo? Watu wa aina hii alikuwa akiwapeda sana dhalimu mwendakuzimu...yaani wapo wapo tu, huwa hawana tofauti na kivuli!

Pamoja na mashtaka yote ya kipuuzi na kubambikizana kesi hakuwahi kutoa kauli yoyote! Aliokotwa wapi huyu? Good riddance ingawa aliyechukua nafasi yake huenda naye akawa hivyo hivyo, masikini Tanzania; cry my beloved country!
 
Kilangi alikuwa mzuri tu kabla ya kuingia ccm
 
Back
Top Bottom