Kilangi aweza kuwa ndiye AG mbovu kuliko wote waliowahi kuhudumu nchini Tanzania tangu Wakoloni waondoke

Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
Maandamano ya kwenye keyboard na hoja zisizo na mantiki kama hizi ndizo mnaweza. Kuweka mikakati ya ushindi kwa chama chenu hamjui. Nawahurumia sana. Mtacheza kwata hii kwa vizazi vingi
 
ni kweli , maana hakuna kura za halali
 
Maandamano ya kwenye keyboard na hoja zisizo na mantiki kama hizi ndizo mnaweza. Kuweka mikakati ya ushindi kwa chama chenu hamjui. Nawahurumia sana. Mtacheza kwata hii kwa vizazi vingi
Maisha yanaendelea!Mimi ni mpenzi wa CDM na upinzani kwa ujumla!Ila kwa sasa kusema unatuhurumia ni kujifanya mwendawazimu,huenda sisi tunakula maisha kuliko hata wewe!
 
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
Change je? Au yule Mkurya wa Escrow nazani hao ndo wanaongoza
 
Maisha yanaendelea!Mimi ni mpenzi wa CDM na upinzani kwa ujumla!Ila kwa sasa kusema unatuhurumia ni kujifanya mwendawazimu,huenda sisi tunakula maisha kuliko hata wewe!
Bora ndugu ukubali maisha yaendelee. Kula maisha ni pamoja na kuwa na peace of mind. Nakushauri uwe na positive mindset juu ya serikali ili usiwe na stress na ule maisha vizuri. Raha jipe mwenywe ndugu
 
Sihitaji kuwa na positive au negative mindset juu ya serikali!Mimi nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi!Japo nimejiondoa rasmi kushiriki shughuli zozote za siasa za moja kwa moja katika eneo ninaloishi,mfano kushiriki mikutano ya kisiasa,kupiga kura na vitu vyote vinavyohusiana na siasa!Nilichobakisha ni kazi zangu,misiba,harusi na sherehe za hapa na pale na burudani zangu binafsi!

Humu JF tutaendelea kupashana joto mara moja moja!
 
Ukiwa Msomi ukaingia CCM ile Taaluma yote hujifuta kichwani Automatic na kubakia na Elimu ya darasa la pili au la nne ndiyo maana hata Bungeni kibajaji na Msukuma ni darasa la saba lakini huaminika na Spika kuliko wale wanaojiita wasomi
Kuwa msomi ni jambo moja na kuwa na akili nzuri ni jingine.
Yawezekana Kibajaji na Msukuma wana akili kuliko hao wengine wanaoitwa wasomi.
 
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
Kaburu Mkoloni mweusi hupenda AG kama hao ambao ni mbumbumbu ili iwe rahisi kumpenyezea Amri za kuwabambikia kesi za visasi au za kukomoa watu, AG akiwa mzuri ni vigumu kupelekeshwa kienyeji enyeji kinyume cha Sheria na katiba
 
Kuwa msomi ni jambo moja na kuwa na akili nzuri ni jingine.
Yawezekana Kibajaji na Msukuma wana akili kuliko hao wengine wanaoitwa wasomi.
Wanaojiita wasomi CCM kwa 78% wamenunua vyeti na wengine kuiba mitihani wakafaulu wakamiliki vyeti pasipo kuwa na Taaluma sahihi kichwani
 
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
Samahani kwa hili swali ila huwa tunapojaza fomu nyingi huwa tunaulizwa..
"Ni kabila gani huyo???"
 
Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini? Sheria ipo wazi hii inamhusu kumshitaki kwa makosa ambayo yanahusu utendaji wake wa kazi.Ndio maana unapeleka mashitaka kwa Ag.
Lakini yeye binafsi kama akifanya ufisadi wapi imezuiwa kumshitaki?
😆😆😆😆
 
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.

Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za kijinga zimeletwa bungeni na kupitishwa , ikiwemo hii mpya ya kumlinda "mhalifu" Ndugai asije kufungwa jela mwaka ujao , ni sheria inayoitia aibu nchi bila sababu yoyote ya msingi , kama Mahakama ni yao wanaogopa nini wahalifu wa makusudi kushitakiwa ?

Wachunguzi wa mambo wanaona kwamba pamoja na Mapungufu ya Mh Chenge wakati alipokuwa AG enzi zile lakini rekodi yake imevunjwa na Kilangi .

Ngoja tuone mwisho wake .
Imejibu....
 
Back
Top Bottom