Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vingi vunatupwa unaweza kuokota fuko la midorari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vingi vunatupwa unaweza kuokota fuko la midorari
Nakutafuta mshanaIchome moto majivu koroga kunywa ama iloweke kwenye maji kisha kunywa karatasi itafune mpaka iishe kabisa.. Usiiteme
Humalizi hata robo kikombe
We hapa naona uko spiritual... Damu ni uhai.so unapo kunywa dam inakua umeingiza uhai mwingine ndani yko...kwa hiyo hapo kuna vitu lazima viende tofauti..kiuhalisiaSumu inatokana na kuwa ile damu haikua designed kuliwa au kurudi kwenye njia ya chakula.
Ni uchafu.Ni zaidi ya kula kinyesi.
Ok menstrual blood ni dawa.Ila katika jamii yangu ni sumu.Nasikja inaua taratibu na utakufa zaidi ya mgonjwa wa UKIMWI
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tunaviita viapo vya siri vyenye agano la damu,vinaapwa na drug cartels kama sinaloa ,criminal gangs kama The bloods na Aryan brotherhood,secret societies kama Rosicrucians,Jesuits na freemasons
What will happen if nikaenda againt na kiapo tulichokubaliana niliisikia hiyo kitu week 2 zilizopita nataka nijue curse yake inakuwaje nikienda kinyume na kiapo.WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
Kule kwetu kuna familia mbili waliwahi kuwekeana kiapo cha ndoa cha damu.
Walipokufa waliongozana
Hata mimi kuna miaka ilikuwa tukiweke hicho kiapo lakini zoezi halikufaulu.