Kile kiapo cha damu hiki hapa

Kile kiapo cha damu hiki hapa

Sumu inatokana na kuwa ile damu haikua designed kuliwa au kurudi kwenye njia ya chakula.
Ni uchafu.Ni zaidi ya kula kinyesi.
Ok menstrual blood ni dawa.Ila katika jamii yangu ni sumu.Nasikja inaua taratibu na utakufa zaidi ya mgonjwa wa UKIMWI
We hapa naona uko spiritual... Damu ni uhai.so unapo kunywa dam inakua umeingiza uhai mwingine ndani yko...kwa hiyo hapo kuna vitu lazima viende tofauti..kiuhalisia
 
Tunaviita viapo vya siri vyenye agano la damu,vinaapwa na drug cartels kama sinaloa ,criminal gangs kama The bloods na Aryan brotherhood,secret societies kama Rosicrucians,Jesuits na freemasons
 
Tunaviita viapo vya siri vyenye agano la damu,vinaapwa na drug cartels kama sinaloa ,criminal gangs kama The bloods na Aryan brotherhood,secret societies kama Rosicrucians,Jesuits na freemasons
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART

Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake

NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE

CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
What will happen if nikaenda againt na kiapo tulichokubaliana niliisikia hiyo kitu week 2 zilizopita nataka nijue curse yake inakuwaje nikienda kinyume na kiapo.
 
Back
Top Bottom