Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2023
Posts
539
Reaction score
1,507
Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 .

Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine hasipokuwa wabunifu anaenda kuwapita followers Kama upepo

Je huyu ni nan? Ana mvuto gani mpaka aongoze kuwa na followers TikTok kuliko wote Tanzania pia Instagram ana followers million kumi

Au followers wake wengi ni wahindi 🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20240906-192305_1.jpg
 
Back
Top Bottom