Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

Tlaatlaah Uzi wako wameufyekelea mbali🥺...yani moderators hawapendi m nifurahi ...
nadhani ni muhimu sana wakafanya kazi yao, ikiwa wamebaini ya kwamba kuna changamoto ya kimaudhui, kimaadili, kanuni, vigezo na masharti mahususi kulingana na utaratibu,

binafsi sina tatizo kabisa na hilo madam Nyamwi255 🐒

ama wamekatisha Furaha yako ghafla 🤣
 
Watu wanalilia comments na likes alooh.
Mimi naamin jamii inayotegemea pesa kwa njia nyepes nyepes hata kama kweli wanazipata bado ni jamii inayokwenda kufa kwa kishindo cha wakoma.
Siyo kirahisi. Creators wa mitandaoni ni kama watengeneza vipindi vya televisheni zamani.
 
Hapo mgawanyo wa followers wake uko hivi
Wahindi : 10,099, 914
Watanzania : 86
jumla Followers 10,100,000.

Awekeze kwenye kujifunza kihindi na ahamie India atengeneze pesa
Tanzania ni rahisi sana watu kupata followers kwenye social media. Hii ni kwa sababu mtanzania akiwa na simu ana-follow na ku-subscribe kwa kila kitu kinachokuja mbele yao. Yaani unakuta mtu ana-follow watu maarufu wote. Halafu pia watu wanabadilisha badilisha sana namba za simu.
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom