Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

watanzania tupo 60m ila yeye ana 10m followers , kwann ulazimishe kuwepo kweny 10m followers na sio 40m wasiomfatilia?
Sababu wengine wote wenye idadi hiyo ya followers wanafahamika na watz karibu wote milioni 60, kumfollow mtu na kumfahamu mtu ni vitu viwili tofauti. Mfano Rais Samiah sijamfollow popote, ila namfahamu.., get it?
 
Comment ya Kiranga imesema hivi "India ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote duniani."

Halafu wewe umekuja kumuuliza kama wahindi sio watu....SMH 🤦‍♀️
Hawa wa tu wengine wana utapiamlo wa akili.
 
Vijana sahv kitu muhimu kwenu ni followers tu

Ova
Mtaji watu kiongozi, mitandao ya kijamii sio yakujitenga nayo hasa kwa vijana maana miaka michache ijayo bila followers wakutosha mfanyabiashara unaweza usipate maokoto kabisa duniani huko
 
Back
Top Bottom