chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
Ukawaulize Wahindi wa IndiaHuyu Masai Hana MDA sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4...
Sasa hivi Gen Z wana kuambia utajiri upo humoVijana sahv kitu muhimu kwenu ni followers tu
Ova
India ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote duniani.Huyu Masai Hana MDA sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4...
Kuliko china?India ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote duniani.
Kuliko China, India kashaipita China.Kuliko china?
Hao followers ni wahindi labda.., maana mimi ndio namsikia leo..Huyu Masai Hana MDA sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4...
Duh, wahindi?!!followers wake wengi ni wahindi π€£π€£
wanashiba followersVijana sahv kitu muhimu kwenu ni followers tu
Ova
Umeniwahi ππKili umekuja na huku kutafuta followers au sio.....
Mi ndo namsikia leo katufata huku followers....Umeniwahi ππ
Huyu kili muhuni sana, kaja kinamna kujibrand huku.!
π π π πHuyo sophia amelowa ni nani?