Suala zima la wahindi ni watu au si watu, kwa kuninukuu mimi, limetokea wapi?Hujasema,ila nimeuliza swali tu unijibu..ivi wahindi ni watu au Sio watu?? hakuna sehem nimeandika kuwa umesema wahindi SI watu
wabongo bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani wa india sio watu?
watanzania tupo 60m ila yeye ana 10m followers , kwann ulazimishe kuwepo kweny 10m followers na sio 40m wasiomfatilia?Hao followers ni wahindi labda.., maana mimi ndio namsikia leo..
Sababu wengine wote wenye idadi hiyo ya followers wanafahamika na watz karibu wote milioni 60, kumfollow mtu na kumfahamu mtu ni vitu viwili tofauti. Mfano Rais Samiah sijamfollow popote, ila namfahamu.., get it?watanzania tupo 60m ila yeye ana 10m followers , kwann ulazimishe kuwepo kweny 10m followers na sio 40m wasiomfatilia?
Punguza kizungu Mama ueleweke.Too many Stupidy in one comment
Wengi wanacreate upuuzi, kunengua nengua watoto wa kiume na kuchekacheka hovyo for non senses.Siyo kirahisi. Creators wa mitandaoni ni kama watengeneza vipindi vya televisheni zamani.
Sasa kwanini usemwe ana followers wengi wahidi?Kwani mimi nimeandika huwahindi sio watu?
Sasa kwanini usemwe ana followers wengi wahidi?
katombw huko shoger weweKwahiyo nikiandika kuwa wafuasi wake wengi ni waindia ndio kumanisha kuwa wahindi sio watu?
choke wewe
choke wewe
Mtaji watu kiongozi, mitandao ya kijamii sio yakujitenga nayo hasa kwa vijana maana miaka michache ijayo bila followers wakutosha mfanyabiashara unaweza usipate maokoto kabisa duniani hukoVijana sahv kitu muhimu kwenu ni followers tu
Ova
Huyo kaenda hadi India na kuperform kwenye India Got Talent.It seems jamaa ana gundu huyu... followers wote hao ila indozment ni none...ni takataka
kafirw hukoSawa