PreGE2025 Kiliba: Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, yeye ndiye anayetuletea maendeleo

PreGE2025 Kiliba: Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, yeye ndiye anayetuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, hakuna namna yeye ndiye anayetuletea maendeleo katika taifa letu" - Kiliba, Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe.

 
Samia hatuletei maendeleo ni kodi zetu na mikopo ambayo tutalipa sisi ndio inayotuletea maendeleo.kweni Samia akifa leo maendeleo ndiyo nayo yanakuwa yamekufa?

Akitaka tumsifu atupe HAKI zetu za kuchagua viongozi wetu tuwatakao.
 
Kwa maendeleo gani...mbona ndio kwanza mtumbwi kautoboa toboa unakaribia kuzama
 
Back
Top Bottom