Kwa hiyo CDF, IGP na DCI inawabidi vichwa vyao watie maji kwa maandalizi ya kunyolewa.
Let's wait and see, eventually the factual truth will be exposed.
Pesa za matumizi yake binafsi yanahusu nini chama Heche amekua mbunge miaka 10 hana marafiki ana biashara hiyo inamahusiano gani na kesi ya Uhaini ?
Huwezi kushangilia Mwendesha Mashtaka Katuga alipombana Heche maswali binafsi ya mali, alafu leo uje na hoja kuwa kesi ikiwa ya Uhaini mawakili wana mipaka—hapo unajidanganya na unaonesha undumilakuwili wa wazi. Kwenye cross-examination, hakuna wa kumpangia wakili maswali. Mfano wa Dkt. Lamwai kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge jimbo la Ubungo unathibitisha hili; alihamaki Wakili Wambari alipomhoji kuhusu mkewe Maria na matumizi ya fedha, lakini Jaji alimwambia 'Jibu swali!'. Sasa Mahakama Kuu imeshawaamuru CDF Jenerali Mkunda na IGP Wambura kuja kutoa ushahidi kwenye kesi hii ya Uhaini. Kama wakuu wa majeshi na polisi wanaenda kukutana na dhoruba ileile ya maswali ya mtego kizimbani, maana yake sheria haichagui sura wala aina ya kesi.Kesi ni ya uhaini sio money laundering
Bila shaka Heche amejifunza somo kubwa sana!In fact,
amedogoshwa mno na Katuga,
In fact,
huenda ana pitia msongo mkali sana wa mawazo hivi sasa, hasa akitafakari alichopitia kizimbani.
hii wiki yote anaweza asibeti kabisa 🐒
Hakuna tafsiri yangu hapo, hayo ni maneno ya makamu mwenyekiti wako alipokuwa akijibu maswali ya Katuga kwenye cross examination.Hiyo ni tafsiri uliyoitaka wewe, na sasa unataka na wengine tuchukue tafsiri yako ya kipuuzi?
kama wewe unanufaika na hiyo tafsiri, fahamu pia kwamba wengine hawakuona hivyo unavyofikiri wewe.
They're damn terrified, wanajua hapo kutakuwa na unpredictable twists and turns hivyo wanajambajamba na kuhara kwa kihoro...Cdf,Igp, na Dci, wataulizwa wanavyomfahamu TL.
..Na kila mmoja kuna swali ambalo ataulizwa litamfanya awe sawa na nzi aliyenaswa kwenye utando wa buibui.
Unadhani wao ni wajinga mpaka wakubali kwenda kukalia kiti moto.Kwa hiyo CDF, IGP na DCI inawabidi vichwa vyao watie maji kwa maandalizi ya kunyolewa.
Let's wait and see, eventually the factual truth will be exposed.
Mtu wa hovyo kabisa wewe. Rudi usome kesi ya uhaini ya akina ''Uncle'' Tom na wale mawakili kama Murtaza Lakha huku serikali ikiwa na wanasheria wa ukweli kama William Sekule chini ya jaji wa ukweli Nassoro Mzavas. Hapo ndipo unajifunza sheria na vipengele vyake na siyo hawa vilaza wenzako kina Katuga ambao hata kiingereza kinawapiga chenga. Bure wewe na akili zako ni kama za Samia. Sijui ni kwa nini ukishaona lijitu linalopenda kutanguliza ''dr'' kwenye jina ni lazima liwe bure kabisa kichwani.Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Ni wajinga of course, kama haufahamu kuwa ni wajinga then you're in the same category.Unadhani wao ni wajinga mpaka wakubali kwenda kukalia kiti moto.
AIok.🐒
Aliboronga sanaHeche kwa pale Mahakamani hana ujanja, anajimudu akiwa mitaani majukwaani tu
Katuga ni mbumbumbu nawashangaa hawa chawa wanavyomchukulia.Mtu wa hovyo kabisa wewe. Rudi usome kesi ya uhaini ya akina ''Uncle'' Tom na wale mawakili kama Murtaza Lakha huku serikali ikiwa na wanasheria wa ukweli kama William Sekule chini ya jaji wa ukweli Nassoro Mzavas. Hapo ndipo unajifunza sheria na vipengele vyake na siyo hawa vilaza wenzako kina Katuga ambao hata kiingereza kinawapiga chenga. Bure kama na akili zako ni kama za Samia. Sijui ni kwa nini ukishaona lijitu linalopenda kutanguliza ''dr'' kwenye jina ni lazima liwe bure kabisa kichwani.
heche ni AI right?🐒
inafaa kua hivyo kwa mtu muungwana yeyote yule, ispokua mwenye kiburi 🐒Bila shaka Heche amejifunza somo kubwa sana!
Naomba kuungana na wewe mdau kwa 100%. Watu wanashindwa kuelewa kuwa sheria siyo kubahatisha wala kukariri 'Dr' mbele ya jina. Ukitaka kujua maana ya sheria, rudi kasome Kesi ya Uhaini ya akina 'Uncle' Tom ya mwaka 1983. Pale ndipo utakapowaona wanasheria wa ukweli kama wakili Murtaza Lakha akichuana na DPP nguli William Sekule mbele ya Jaji thabiti Nassoro Mzavas. Hao ndiyo walikuwa magwiji wa sheria, weledi, na lugha. Hawa wa sasa hivi akina Katuga ni vilaza tu wanaopiga chenga hata kwenye kiingereza cha kawaida, hawana lolote kichwani! Hata Mzee Warioba pia alikua mzuri hata kumzidi huyu Kilaza KatugaMtu wa hovyo kabisa wewe. Rudi usome kesi ya uhaini ya akina ''Uncle'' Tom na wale mawakili kama Murtaza Lakha huku serikali ikiwa na wanasheria wa ukweli kama William Sekule chini ya jaji wa ukweli Nassoro Mzavas. Hapo ndipo unajifunza sheria na vipengele vyake na siyo hawa vilaza wenzako kina Katuga ambao hata kiingereza kinawapiga chenga. Bure wewe na akili zako ni kama za Samia. Sijui ni kwa nini ukishaona lijitu linalopenda kutanguliza ''dr'' kwenye jina ni lazima liwe bure kabisa kichwani.
Wewe huna mchango wowote katika jamii na taifa kiujumla zaidi ya uchawa.Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination.
Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi ulioonekana kuwa na taarifa nyingi za kila uonezi aliodai CHADEMA wanafanyiwa kaishia kudogodeshwa na Katuga mbele ya mahakama kwa kujithibisha yeye mwenyewe kuwa anadanganya kuhusu mali zake na huwa anaingiziwa mapesa kwenye account yake ambayo wenzake wa CHADEMA hawajui!
Kiukweli kwa hiki kilichompata Heche, niko pale nasubiri kuona kama CDF, IGP na DCI wataenda mahakamani. Waswahili husema mwenzako akinyolewa zako tia maji.