Huko siko kudogoshwa bali ni ujinga wa Katuga kushangaa John Heche kumiliki gari tu la 110,000,000 kwa kudhani kuwa hastahili kwa kuwa wanaostahili ni wao tu huko CCM kwa pesa za wizi na ufisadi wa umwagaji wa damu!
Wewe fala kweli.🤪
Wewe mwenyewe umesema ni "Akaunti yake binafsi" lakini unataka wengine wajue mambo ya John Heche binafsi. Yanatuhusu nini sisi? Mkisema ameiba, basi mnapaswa kuthibitisha hilo ndipo tuwaelewe...
Otherwise, everything presented there is completely nosense in
Tlaatlaah's voice👺👹
Au wewe pesa zako zinazoingizwa kwenye Akaunti yako binafsi ya Benki kwa shughuli zako au vyanzo binafsi ni lazima rafiki na jirani zako wajue?
Kama huyo Katuga wako angesema kuwa John Heche hizo pesa ni za wizi, kidogo tungeelewa. Lakini kumbe ilikuwa ni kupiga siasa uchwara tu za CCM mahakamani badala athibitishe kosa ya uhaini la Tundu Lissu...
Contradiction...
Why? Kwa sbb wewe
Dr Adam Francis ni masikini wa akili na ufahamu kwa kuwa hata hujui wanakwenda kwa ajili ya nini na hata hujui kwanini wameanza kupiga chenga kwa sbb za kitoto na kijinga kabisa...
Ni kama unadhani wanaenda kuthibitisha kuwa magari ya John Heche ni ya wizi...!!!
What you've to understand ni kuwa ruling ya mahakama ni wao "LAZIMA" wafike mahakamani kutoa ushahidi in the favour of the defence side simply because ushahidi wao ni muhimu na relevant...
BTW na kwa taarifa yako ni kuwa, la wasipotaka kwenda kwa hiari, wataburuzwa kwa nguvu na kuingia ktk jinai ya "contempt of the court of law"
Waambieni wawe makini...
Wao ni viongozi wakubwa sana serikalini na custodian wa utawala wa sheria...
Kudharau wito wa mahakama itakuwa disaster kwao...
Waambieni waache kujificha, waliyataka wao basi wakabiliane nayo bila woga...
La, wanaona aibu, watupe taulo ulingoni, tumalize game tuendelee na maisha...
Na watii sheria na katiba. Waende mahakamani wakajibu maswali ya Tundu Lissu...