Wewe kilaza hivi unajua kusoma na kuelewa kwa ufahamu au unasoma kama mnavyoongea vijiwe vya kahawaUnajulikana ni nini kinachokuleta humu JF. Huna mchango wowote wa maana kwa taifa hili tokea uingie humu JF; lakini bado unataka nipoteze muda wangu na mtu kama wewe ambaye ajenda yake inajulikana kuwa siyo ya manufaa kwa taifa hili!
Ninakufahamisha tu kwamba hakuna namna ya kujitoa akili itakayowasaidia waovu nyie. Hatma yenu na huyo mhalifu Samia ipo wazi.
Umeelewa mtoa anaongelea nini kuhusu hii kesi hasa upande wa heche?
Leta hapa uelewo wako kwanza maana naona nampigia gitaa mbuzi