Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
- Thread starter
-
- #21
Baki hivyo hivyoDuuuh, hv kweli unadiriki kutunga uongo hadi ww mwenyewe unajisikia aibu ..hv kweli hata nyie mnaowalipa hawa pimbi hamuangalii hata japo ubora wa story??? Huyu msimpe 7000 kbs...huu uongo uko chini ya kiwango kabisaaaaa....asilipwe
Rubbish!Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Chai kavu .Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Ha Ha Ha HaBalozi na mkosa miguu bagamoyo ni nani hawa watu?????
Nchi ngumu sana hii
Alafu ya baridi wala haichangamshi mdogo.Chai kavu .
😂😂😂Uzi tayari.
Karibuni ndugu wajumbe kwa michango yenu..✍️
MchagaIla Mbowe noma sana 😄😄😄😄
Tundu Lissu ni mbwa koko kama mbwa wengine,tujadilini mambo ya msingi taifa linakwenda mrama,majizi yamerejea kwa kasi,mfumuko wa bei ya bidhaa unatisha,come with the way forward,sio kila siku kumjadili kilema msalitiKama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.

Kwa nini wasitumie ID zao zilizo zoeleka!? Wanaona aibu kwa huu uchafu wanao_post!?Gamba jipya tu hawa ndio wale akina Bia Yetu, Etwege n.k wamerudi kwa uniform mpya. Hawana ugeni wowote hapa JF usidanganywe na hiyo February 2023
Tundu Lissu ni mbwa koko kama mbwa wengine,tujadilini mambo ya msingi taifa linakwenda mrama,majizi yamerejea kwa kasi,mfumuko wa bei ya bidhaa unatisha,come with the way forward,sio kila siku kumjadili kilema msaliti
PATHETIC