Bt pesa za Bunge ni JASHO lake comparing 15b ambazo ni RUSHWA.Tundu Lissu, anavyolipoka . Angekua ameshasema kua....Magufuli alitaka aninunuee, nikakataa , sasaaaa sasaa nikapigwa Risasi.
Akatae Bilion 15 ,alafu aliliee Pesa za Bunge ?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bt pesa za Bunge ni JASHO lake comparing 15b ambazo ni RUSHWA.Tundu Lissu, anavyolipoka . Angekua ameshasema kua....Magufuli alitaka aninunuee, nikakataa , sasaaaa sasaa nikapigwa Risasi.
Akatae Bilion 15 ,alafu aliliee Pesa za Bunge ?.
Sijaona Mwanasiasa wa kukataa hata 1 B.Bt pesa za Bunge ni JASHO lake comparing 15b ambazo ni RUSHWA.
Mnyika haezi pokea RUSHWA. Na Mbowe Hana Bei.Sijaona Mwanasiasa wa kukataa hata 1 B.
Hivi mkuu bilioni unaichukuliaje? Huu muda ulitumia kuandika Huu uongo ingekuwa vizuri ungetumia kusoma Bibble au QuranKama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Jamaa anatulisha chaiTundu Lissu, anavyolipoka . Angekua ameshasema kua....Magufuli alitaka aninunuee, nikakataa , sasaaaa sasaa nikapigwa Risasi.
Akatae Bilion 15 ,alafu aliliee Pesa za Bunge ?.
Nyie CCM kumbe ndiyo washenzi na wapumbavu kiasi hiki..!!????Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Sitegemei uwe mgeni na lisuTundu Lissu, anavyolipoka . Angekua ameshasema kua....Magufuli alitaka aninunuee, nikakataa , sasaaaa sasaa nikapigwa Risasi.
Akatae Bilion 15 ,alafu aliliee Pesa za Bunge ?.
Wewe kwa akili yako kabisa unaamini alichokisema mtoa mada?Nyie CCM kumbe ndiyo washenzi na wapumbavu kiasi hiki..!!????
Yaani mnakusanyika mahali kufanya kikao cha kuuza na kununua watu kwa fedha za walipa kodi wa nchi hii..!???
Yaani badala ya kukusanyika na kufanya vikao vya kutatua kero za watu Kwa kutumia fedha hiyo nyie mnakusanyana ili kwenda kuzitapanya..???
Pumbavu na shenzi zenu kabisa. You are evils. You don't deserve to be human beings..!
Na nyie wengine tunaposema CCM na watu wake ndiyo chanzo cha ujinga na umasikini wa watu wa nchi hii muwe mnaelewa...!
Uthibitisho ni huu wa mjinga huyu anavyojifunua mwenyewe huku yeye akidhani kashusha nondo za kujadiliwa na WENYE akili..!
Hivi ulivyoandika huu upupu unafikiri kila mtu ni zuzu km wewe.Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Wewe Hziyech22 umenisoma na kunielewa kweli?Wewe kwa akili yako kabisa unaamini alichokisema mtoa mada?
Umeanddika kwenye comment yako juu kwamba " kumbe CCM ndio washenzi na wapumbavu kiasi hichi?" UkaongezeaWewe Hziyech22 umenisoma na kunielewa kweli?
Ningemwamini nisingemwita mpumbavu na mshenzi..??
Kumwita kwa sifa hizo maana yake ni kuwa alichoandika ni ujinga..!
Naona sasa hivi umeshakuwa tajiri baada ya kuachana na Azimio la Arusha na kuruhusu mabeberu kuja kujichotea rasilimali za nchi kiholelaAzimio lililotufanya nchi kuwa masikini wakutupwa pamoja na rasilimali zote tulizonazo.
Ujamaa ni upuuzi.
Lete hicho kitabu cha Zero Fail tusome.
Bwa mdogo acha bangiKama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Duuu hata wewe umeona duuuChai kavu .
Yaani billionaire mbowe ambaye ndo roho na mwili wa chadema thamani yake iwe billion 5 harafu lisu iwe 10?Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Mnawakataa mapandikizi ya CHADEMA mtandaoni.?Duuuh, hivi kweli unadiriki kutunga uongo hadi wewe mwenyewe unajisikia aibu ..hivi kweli hata nyie mnaowalipa hawa pimbi hamuangalii hata japo ubora wa story? Huyu msimpe 7000 kabisa...huu uongo uko chini ya kiwango kabisaaaaa....asilipwe
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani billionaire mbowe ambaye ndo roho na mwili wa chadema thamani yake iwe billion 5 harafu lisu iwe 10?