Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunajua maisha ni magumu sana, ila jitahidi hata utupatie mkate ili kusindikizia hii chai.Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Alikuwa TIss aliitwa Nyauligo alipata ajali Bagamoyoalyeacha miguu bagamoyi ndio nani huyo
Watakupinga kama kawaida yao ila umeandika kweli tupuKama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Kwani azimio la Arusha liliwafukuza kina Williamson Diamond waliokuwa wakijichotea siku hizo?Naona sasa hivi umeshakuwa tajiri baada ya kuachana na Azimio la Arusha na kuruhusu mabeberu kuja kujichotea rasilimali za nchi kiholela
Hizi ni "conspiracy theories" , Kuzikataaa au kuzikubali inategemea na upeo wako.Weather hii story yako ni ya kweli au la, umekidhalilisha chama chako sana kuliko ulivyofikiri unawadhalilisha Chadema.
Kwa mtazamo wangu ulichofanya ni kusema CCM ni watoa rushwa kubwa kubwa na kusimamiwa na viongozi wakubwa wa chama. Lakini pia umetuambia serikali inashirikiana na chama kutoa rushwa kupitia idara ya Usalama na ukikataa unaweza uwawa.
Na wewe ni mmojawapo wa watoa rushwa hao.
Binafsi natamani sana kufahamu:Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
🤣🤣🤣🤣Hizi ni "conspiracy theories" , Kuzikataaa au kuzikubali inategemea na upeo wako.
Mkuu nimekuwa kwenye jamiforum muda kidogo so naelewa situation hizi sijawahi kuona mshabiki wa chama chochote anaweza kujitaja yeye ni chama fulani na akaja na story yakupondea upande wa hicho chama anashabikia, nia yake ya mtoa mada ili watu waamini story ni yeye amelazimika kujitaja ni sehemu ya hicho chama ili watu wamuamini jitahidi tofauti na yeye kujitambulisha ni chama gani anaona story yake ingekuwa ni ngumu watu kukubaliWeather hii story yako ni ya kweli au la, umekidhalilisha chama chako sana kuliko ulivyofikiri unawadhalilisha Chadema.
Kwa mtazamo wangu ulichofanya ni kusema CCM ni watoa rushwa kubwa kubwa na kusimamiwa na viongozi wakubwa wa chama. Lakini pia umetuambia serikali inashirikiana na chama kutoa rushwa kupitia idara ya Usalama na ukikataa unaweza uwawa.
Na wewe ni mmojawapo wa watoa rushwa hao.
Kweli kabisaTundu Lissu, anavyolipoka . Angekua ameshasema kua....Magufuli alitaka aninunuee, nikakataa , sasaaaa sasaa nikapigwa Risasi.
Akatae Bilion 15 ,alafu aliliee Pesa za Bunge ?.
Karibu utupeTupe ubuyu wa jiwe kujifungia Chato miezi mitatu.
Let's story Bibi angu maana unajua vingi maana u mkongweBinafsi natamani sana kufahamu:
1) Ni nini kilimsukuma jiwe kwenda kujibanza chato kwa miezi zaidi ya miwili?
2) Nini kilikuwa chanzo cha Makonda kupoteza ukaribu wake kwa jiwe?
😀😀😀Hio ya Mbowe ni noma,kala mzigo akatimkia Nairobi 😂😂,watu wahuniKama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.
Ila kwa Leo nidokoe kidogo tu kwamba USA wana utaratibu kupitia kitabu cha CIA al-maarufu Blue Book ambamo hutoa taarifa ya Vifo kadhaa waliyoshiriki na kufanikisha. Huweza kuchukua hata miaka 5 Hadi 10 kutegemeana na hatari ya kutoa taarifa mapema.
Naomba ku-devlare interest kwamba mimi na CCM ni uji na mgonjwa. Ni kada kindakindaki. Kuna mambo muda fulani ukipita ni lazima kusemwa.
Niliwahi kuhudhuria kikao fulani cha kuwapiga bei viongozi wa upinzani kama mbuzi wa shughuli hususan Chadema. Kikao kilifanyikia Greatwall Restaurant nadhani pale ni Masaki. Kilifanyika muda wa saa sita usiku kikiongozwa viongozi waandamizi wa chama akiwemo Mangula ambaye hakukubaliana na hoja hiyo Hali iliyompelekea kuwa na uhusiano usio na afya na Jiwe Hadi Jiwe alipoitoroka Dunia.
Katika kikao hiki ilitakiwa kila kiongozi wa chama hicho bei yake ni shilingi ngapi Ili walipwe waunge mkono juhudi. Bei ya Mbowe ilikuwa ni 5b wajumbe wakaguna ikafikia 3. Mnyika ilipendekezwa 1b mjumbe mmoja akasema hapana, huyo dogo ana njaa apewe 600m ikapita. Mdee alipigwa bei 500 m, John Heche 400m, John Mrema 270m nakadhalika.
Kimbembe kikawa Kwa Lissu. Kila mmoja aliinama chini baada ya yule Balozi wetu Malawi kupendekeza 10b wajumbe wakasema hapana. Ni ndogo sana. Basi wa suti nyeusi aliacha miguu kwenya ajali Bagamoyo akaomba apewe muda akamdadisi. Kikao kilichofuata sikuhudhuria ila nilipata taarifa kuwa Lissu alikataa hela yoyote na ndio ikawa chanzo cha kuhukumiwa "kifo". Mbowe alipokea lakini akakataa kuunga mkono juhudi jambo lililofanya awe "gaidi" maana kala mzigo akatimkia Nairobi.
Malipo ya wengine yaliliwa na Balozi na Mkosa miguu Bagamoyo bila Jiwe kujua. Laiti kama Lissu angepokea walau 15b Leo asingekuwa mlemavu. Cha ajabu safari hii kalamba 3 katulia kimya. Hakuna Cha kelele wala nini. Wenzie wanapigishwa miayo.
Ama kweli wajinga ndio waliwao. Bavicha Amkeni, ndoa ishagunhwa ungeni mkono kila jambo la CCM mpone. Ova!
Hizo watu wanatia mfukoni wanasepa,mchaga yule anaijua pesa alafu wewe unampelekea kabisa 😂I knew it,Dj kumbe yeye bei elelezi ni 5b kama alizochukua kwa mamvi ili agombee.
Mimi Niko tofauti kabisa ndio maana hata jina langu halisi sijawahi kulificha kama wengine.Mkuu nimekuwa kwenye jamiforum muda kidogo so naelewa situation hizi sijawahi kuona mshabiki wa chama chochote anaweza kujitaja yeye ni chama fulani na akaja na story yakupondea upande wa hicho chama anashabikia, nia yake ya mtoa mada ili watu waamini story ni yeye amelazimika kujitaja ni sehemu ya hicho chama ili watu wamuamini jitahidi tofauti na yeye kujitambulisha ni chama gani anaona story yake ingekuwa ni ngumu watu kukubali
1. Jiwe aliogopa kivuli chake.Binafsi natamani sana kufahamu:
1) Ni nini kilimsukuma jiwe kwenda kujibanza chato kwa miezi zaidi ya miwili?
2) Nini kilikuwa chanzo cha Makonda kupoteza ukaribu wake kwa jiwe?
Nini kilichopelekea aogope kivuli chake mpaka akajichimbie Chato? Funguka.1. Jiwe aliogopa kivuli chake.
habari hii ni nzito tunesaidiwa ukapatikana, watu wa ciber wachunguzeKama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia wa kifo Cha Magufuli.