Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

Mkuu nimekuwa kwenye jamiforum muda kidogo so naelewa situation hizi sijawahi kuona mshabiki wa chama chochote anaweza kujitaja yeye ni chama fulani na akaja na story yakupondea upande wa hicho chama anashabikia, nia yake ya mtoa mada ili watu waamini story ni yeye amelazimika kujitaja ni sehemu ya hicho chama ili watu wamuamini jitahidi tofauti na yeye kujitambulisha ni chama gani anaona story yake ingekuwa ni ngumu watu kukubali
Vikundi ndani ya CCM.

Kumbuka bado kuna vita ya vikundi ndani ya CCM.
 
Kuna mwana wa adamu mmoja ataamini hiki ulichoandika, 😂😂😂😂.

Baada ya jiwe kuondoka tunaona uliowataja wameunga juhudi Kimya kimya, unaweza kutudokeza ni kiasi gani kimetumika kuwanunua???? Haswa Honey Badger

Au wamefika bei kwa budget ileile aloacha jiwe?
 
Umeanddika kwenye comment yako juu kwamba " kumbe CCM ndio washenzi na wapumbavu kiasi hichi?" Ukaongezea
Ukasema "mnawezaje kukaa na kupanga kikao Cha kununua watu kwa fedha" kwa kauli hizi umeashilia kwamba umekubali kauli ya mtoa mada
Mwenzio ametumia sarcasitic language. Hakumaanisha kukubaliana
 
Nyie CCM kumbe ndiyo washenzi na wapumbavu kiasi hiki..!!????

Yaani mnakusanyika mahali kufanya kikao cha kuuza na kununua watu kwa fedha za walipa kodi wa nchi hii..!???

Yaani badala ya kukusanyika na kufanya vikao vya kutatua kero za watu Kwa kutumia fedha hiyo nyie mnakusanyana ili kwenda kuzitapanya..???

Pumbavu na shenzi zenu kabisa. You are evils. You don't deserve to be human beings..!

Na nyie wengine tunaposema CCM na watu wake ndiyo chanzo cha ujinga na umasikini wa watu wa nchi hii muwe mnaelewa...!

Uthibitisho ni huu wa mjinga huyu anavyojifunua mwenyewe huku yeye akidhani kashusha nondo za kujadiliwa na WENYE akili..!
Ccm nikiwakuta mbinguni narudi jehanam mwenyewe.
 
Swala la pesa tu nakubali.

Chadema Huwa hawazikatai.
Dah, yan unashangilia kodi zetu kutapanywa hovyo?!!! Ma ccm mna laana. Halafu si ajabu utakuta wewe ni mlalahoi na mamako yupo kijijini anatandikwa tozo hadi bukta ya ndani imetoboka hawez ibadilisha kwa ufukara uliomzunguka!!!
 
Dah, yan unashangilia kodi zetu kutapanywa hovyo?!!! Ma ccm mna laana. Halafu si ajabu utakuta wewe ni mlalahoi na mamako yupo kijijini anatandikwa tozo hadi bukta ya ndani imetoboka hawez ibadilisha kwa ufukara uliomzunguka!!!
Wewe mse.nge usiniletee matako Yako hapa.
 
Back
Top Bottom