Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

Hizi siasa thus mdee na wenzake nao wakalamba, Mbowe anajua michezo yote ya covid-19,Mbowe ni kengeza aisee yaani analamba na kufuta fasta, Mbowe ni mfanyabiashara wa siasa anacheza na akili sana.
 
Tukio la Dodoma lilipangwa kishamba Sana na watu washamba Sana types yaa bashite na musiba walio kuwa na uwezo wa kupata silaha tu
 
Kumbe wote walivuta MIKWANJA. Ndio maana walipokuwa wakinunuliwa wabunge na madiwani, waliufyata!
 

Jiwe alitaka ushahidi wa video na sio maneno kwamba mkosoaji ameshachukuliwa na mtoa roho.
Stupid unaua mwanadamu mwenzio kisa tumbo then na wewe unakufa nini zaidi ya kuukimbiza upepo.
 
Unapoona taasisi zetu takatifu zinatumika kujenga hoja hafifu namna hii maana yake ni kuwa kama nchi tumepoteza uelekeo.

I less care who paid any amount. The core concept ni movement iendelee kwa sababu bila hivyo nchi itazama. Tujengeane uwezo wa kuwa na hoja za kitaifa badala ya hizi ishu za kutunga
 
Nyaulingo
 
Haya mambo ya kuchezea pesa zetu ndio utuondoleaa moyo uzalendo.
Thus nasi tukizipata hatuziachi.
Matatizo kibao mnapeleka pesa pasipo tija
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unataja billion kma unataja maandazi ya tandale ....kweli chama kinaundwa na watu mavi mavi ....sasa kwann msimkamate kigogo huko mitandaoni anaandika habar zenu Kila leo
 
Wakomunist na propaganda ni damu damu. Ila kwa hii inaonekana ni jinsi gani level ilivyoshuka chini. Ni muda sasa either CCM aachane na siasa za propaganda au wawafanyie training. Ikiwezekana mpelekwe China kwenye kitovu........!!
Na matusi kibao ya kila aina !!
 
Kama ilikuwa hivyo, kwa nini wamsubirie TL mpaka kwenye ule wakati wa malumbano yake na Serikali kuhusiana na makininika?
Kwa kusoma post humu jukwaani, kuna uwezekano mkubwa hata sisi raia tusiokuwa na utaalamu wowote, tukaweza kuwapata baadhi ya wahusika wa tukio laTL. Naona wanaanza kujitokeza taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…