Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

Mkipigwa muanze tena kuzililia Jumuia za Kimataifa ziingilie kati. Hamchelewi kukimbilia UN na kuandamana kila kona.

Hivyo vikombora si vimesambaratishwa vikiwa angani? Israel akijibu msije kuanza kulia lia hapa.
Endelea kujifariji. Ila Netanyahu leo amelala udongoni chini ya handaki 😂😂😂.

Hiyo ni nchi kamili inayojitegemea yenyewe kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia. Haitegemei huruma, wala silaha kutoka Marekani, UK, Ujerumani wala Ufaransa kama Israeli.

Msaada mdogo tu wa silaha ilizoipa Urusi katika vita vyake na Ukraine umeacha madhara makubwa katika miji mbali mbali ya Ukraine hadi Magharibi wakapiga kelele Iran isiipe silaha Russia kwani zinarudisha juhudi zao nyuma. Alaf wewe leo unatapika nonsense ukifikiri itasaidia watu kutokuona udhaifu wa Israel kijeshi ambayo ilianza kulia lia na Marekani yake kabla hata hawajashambuliwa.
 
Kupitia mgogoro wa Russia na Ukraine kisha huu wa mashariki ya kati, tumeyajua mengi mnooo tuliyokuwa tukidanganywa
Kiufupi Israel bila Marekani ni weupe mnooo tofauti na sifa wanazopewaga vijiweni
Ukweli ni kwamba Israel ni kikundi cha watu walioshindwa maisha huko Ulaya miaka 80 iliyopita. Sasa wakatafutiwa sehem ya kupelekwa ndo wakaja kupachikwa hapo kwa masilahi ya Marekani, UK na nchi zingine za magharibi. Hata hivyo wana vichwa vigumu, pamoja na mafunzo yote wanayopewa ya kujisimamia na kujilinda lakini bado hawana uwezo wa kufanya hivyo.

Ni weupe mwilini, kichwani na akilini.
 
Sipati picha Iran ingekuwa haina vikwazo sijui ingekuaje
 
Mkipigwa muanze tena kuzililia Jumuia za Kimataifa ziingilie kati. Hamchelewi kukimbilia UN na kuandamana kila kona.

Hivyo vikombora si vimesambaratishwa vikiwa angani? Israel akijibu msije kuanza kulia lia hapa.
Iran anajisimamia mwenyewe hategemei msaada wa nchi yoyote tofauti na Israel ambae marekani akistisha msaada hawezi,hizo ndege zimezuiwa na washurika wa Israel marekani na uingeleza vipi wakimwacha ajisimamie mwenyewe
 
Alievamiwa ndani kwake na kufanyiwa uharibifu kwake na yule anaevizia pembeni nani aliepigwa kofi?

Hiki ni kichwa cha habari tu. Ila habari kamili itakuja kwa jinsi kijana atavyotaka kuvimbishwa kichwa na kaka zake. Jeshi la mtu mmoja dhidi ya kundi zima la magharibi 😂😂😂
iran sio jeshi la mtu mmoja, yupo urusi, china, north korea, washia wote. na pia teknolojia ya silaha zote anapata kutoka urusi

halaf pia hilo kundi zima la magharibi ujue kwamba ni nchi tatu tuu..US, UK na France.. na ujerumani kidogo..hao wengine hamna kitu ni wapenzi wasindikizaji
 
Kupitia mgogoro wa Russia na Ukraine kisha huu wa mashariki ya kati, tumeyajua mengi mnooo tuliyokuwa tukidanganywa
Kiufupi Israel bila Marekani ni weupe mnooo tofauti na sifa wanazopewaga vijiweni
ambacho hujui ni kwamba israel ndo marekani mwenyewe, ni sawa na kusema mtoto bila baba hakuna kitu, bila kujua kwamba baba na mtoto ni kitu kimoja, so acha kuongea kitu ambacho hakiwezekani
 
Si huwa mna tuambia kuwa Israel inaweza kupigana na dunia nzima na kuwa mataifa ya Magharibi ndo yanaitegemea Israel?
Nani alikuambia hivyo??
Leta huo ushahidi hapa, acha porojo.
 
Back
Top Bottom